Search results

  1. Manager

    Geor Davie ni nani?

    Mie sina majibu
  2. Manager

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    NADHANI MTAALA NDIO UNATAKIWA UANZE. LAKINI TZ TUNAFANYA VICE VERSA. MTAALA WENYE UNAFANYIWA VIRAKA VIRAKA TU KAMA KATIBA
  3. Manager

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    Focus ya nchi hii imekuwa kwenye sera zaidi ya mtaala. Mkukuta, MKUZA, MEMKWA, MMES, BRN etc
  4. Manager

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    NAKUBALAINA. WE NEED SOUND PROOF BUILDINGS.
  5. Manager

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    Nimependa hio ya Diploma teachers!! Je graduate teachers wanatoshaaaa????
  6. Manager

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    Sera na Mtaala ni tofauti. Nadhani sera ni muongozo kwa watendaji wa elimu. Lakini mtaala is the totality of what is happening in school setting
  7. Manager

    Daah! I finaly nimeupitia mtaala wa elimu wa sekondari

    Mie nimefanya utafiti nilitumia ya 2009!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Document zinafichwa ni balaa. Halafu website mara nyingi ya Tanzania Institute of Education huwa OFFLINE
  8. Manager

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Mambo hayo. Madocta wengi pia
  9. Manager

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Kikwetu alipongezwa kwa nguvu zote. Huyu tena ni hivyo hivyo. Akili zingine......
  10. Manager

    Wizara zinazofutwa hadharani

    Jamaa yuko vizuri!
  11. Manager

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Kila mtu huwa ana wakati wa kuzungumza pumba. Hapa MMM kachemsha!
  12. Manager

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hivi alikuwaje padri huyu?????? Yeye kuchukua mke wa mtu mbona kasemehewa
  13. Manager

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kutokusamehe ni uchafu sawa na ufisadi. Huyu jamaa angepewa nchi ni visasi tu!
  14. Manager

    Familia ya Pombe Magufuli yatinga kwa TB Joshua

    Pia angalia meza ilivyo nyembamba. Mbona mnacheza na akili za watu!!!!
  15. Manager

    Familia ya Pombe Magufuli yatinga kwa TB Joshua

    Pamoja na kwamba sipendi mfumo mzima wa CCM, lakini picha hii ni PHOTOSHOP, angalia kwenye vidole!
  16. Manager

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Wasomi ndio mnaomjua Slaa!
  17. Manager

    CCM: Kutoka kuchekeana hadi kutishana

    Kidumu Chama cha Mapinduzi (lakini mioyoni wanajua kabisa safari hii hakitadumu!):flame:
  18. Manager

    Kikwete: Nimeshindwa Sekta ya Kilimo

    Nadhani watafute rangi nyingine na sio kijani. Nyeusi ingependeza sana:eek:
  19. Manager

    Tangazo hili la "Hakielimu" sidhani kama litadumu

    Bila CCM nchi hii itayumba:glasses-nerdy:
Back
Top Bottom