Search results

  1. D Metakelfin

    Cheki injini hii mtanikoma

    Gari yangu ya mwanzo ist kwa kweli Nilikuwa nawaonea wivu sana mkitamba humu ila Nilikuwa sina la kusema. Nimenunua unyama mwingine wa subaru na leo nlikuwa kwa fundi kufanya marekebisho ya injini. Maana mi ni mpenzi wa ligi barabarani ndugu yangu elibariki baadae uje tukutane uhasibu nataka...
  2. D Metakelfin

    Hili tatizo la ardhi linaumiza akili mno na linachanganya

    Habari wanajamvi, Siku ya juzi tarehe 19 september 2023 tumeletewa notisi ya malipo ya kodi ya ardhi (nimeambatanisha) ikiamrisha tulipe kodi ya ardhi jumla ya shilingi 244,700/=tshs Kodi ya mwaka huu ni 7,500/=tshs Baada ya kuulizia afisa mtendaji yeye anadai jumla ya hilo deni ni tangu...
  3. D Metakelfin

    Mwanamke mwenye Tattoo!

    Jamani wanajf katika harakati zangu za kupunguza uiringa na kuingiza udar kiasi kichwani nkaenda kwenye bar ya kitambaa cheupe Sinza pale nilichoona ni hatari wanawake wamejichora Tattoo miilini wanavuta zile sigara za umeme na kutolea moshi mdomoni Kama garimoshi asa leo ngoja nianze na Tattoo...
  4. D Metakelfin

    Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Wale vijana niliowasaidia kwa kuwapeleka site wakaungane na mafundi wangu(japo hawana ujuzi wa ufundi) Baada ya kutangaza kwamba vijana wasio na ujuzi ila wanahitaji walau kutoboa kimaisha kwa kujifunza ujuzi wowote niliwachagua hawa nane kwa sababu zangu flani na usiriaz walioonyesha Vijana...
  5. D Metakelfin

    William fulton ni nani na taasisi ya mangotree ni kweli inahusika na kuispy Tanzania?

    wakuu naomba kwa mwenye taarifa za huyu mzungu wa mbeya atuelezee vizuri kuhusu mi nnachojua alifukuzwa tanzania mwaka 2015 kwa kosa la kuiba taarifa za mipango ya siri ya KIUCHUMI japo mwenyewe alikana na hata mtoto wake naye amemtetea kuwa si kweli Lakini jamaa anazidi kusisitiza anaomba...
  6. D Metakelfin

    Chakula cha kuku bei juu masoko yapo chini. Tunafanyaje?

    Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa...
  7. D Metakelfin

    Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM. Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi. Ahsante
  8. D Metakelfin

    Naomba kujua gharama na utaratibu wa chanjo ya homa ya ini (hepatitis)

    Husika na habari hapo juu, Naomba nijuzwe gharama zikoje kuhusu chanjo za kinga ya huu ugonjwa. Najua inatakiwa sindano tatu yaani kila moja baada ya muda Fulani ila sijajua gharama zake,
  9. D Metakelfin

    Whatsapp na instagram hazifanyi kazi katika simu yangu naomba msaada

    Wakuu,simu yangu Leo siku nzima wahatsapp na insta hazijafanya kazi naishia kutumia Facebook na telegram tu. Kuna mtu Jana nlimuachia simu sijajua kama kuna setting kazifanya au shida nini simu yangu inatumia mfumo Wa android. Ntashukuru kwa ushauri.
  10. D Metakelfin

    Chaula bus, kampuni ndogo yenye huduma bora, kwangu ni bora 2020

    Kwa Mara ya kwanza tangu yapotee mabasi ya Scandinavia Leo nimeenjoy kusafiri kutoka Iringa mpaka daresalaam baada ya kupanda gari za hii kampuni kwangu nawapa maksi za Juu hususani customer care yao Customer care,hii ndo imenifurahisha kwa kweli wahudumu ni wakarimu na muda wote wapo karibu na...
  11. D Metakelfin

    Kijana aliyepo maeneo ya Kibaha, Mlandizi au Daresalaam na anajua kuchoma chips

    Husika na kichwa cha habari hapo Juu,nahitaji kijana. Umri:miaka 18-25 Dini:yeyote Awe na mahali pa kuishi. Mkoa Dar au maeneo ya jirani(mlandizi,kibaha,) Kazi:atakuwa anachoma chips na nimtalipa kadri ya makubaliano yetu,wote ni vijana kila mmoja apate riziki...
  12. D Metakelfin

    Bei zetu mpya za mabelo ya mtumba

    Hii ni bei ya belo za mitumba grade one. Tunapatikana keko Tunatuma Tanzania nzima(Tc apply) Piga au tuma sms kwenda namba 0713278725 Grade2 pia ukihitaji zinapatikana 1:Mixer dress kg45 bei 370,000 2: polydress kg45 bei 580,000, 3:ladies jeans kg45 bei:420,000 4:shifon dress kg45 bei 520,000...
  13. D Metakelfin

    Jifunze hivi,weekend hii

    Habari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha. Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle. Jumamosi ya Leo nimeona isipite bila kuandika chochote inaweza kukusaidia au kumsaidia mwingine kikubwa...
  14. D Metakelfin

    Nafasi za kazi kampuni ya kuzuia ujangili (kwa waliopitia jkt tu)

    GRUMETI FUND TRUST. TANGAZO LA KAZI Grumeti Fund Trust inatangaza nafasi za kazi zifuatazo; Askari wa wanyamapori Majukumu ya Askari wa wanyapori: Majukumu ya msingi kwa Askari wa wanyapori ni kufanya kazi kwa kushirikiana na wadau wa Serikali wa Grumeti Fund kuhakikisha usalama kwenye...
  15. D Metakelfin

    Mwaka 2020 tutafute pesa

    Wakuu inshort namshukuru Muumba japokuwa mwaka 2019 umeniishia nikiwa vizuri kiuchumi na vibaya kiafya. Malengo yangu ya savings bado sijafunga hesabu mpaka tarehe 28 ya mwezi huu wa kwanza japokuwa zaidi ya asilimia 89 ya kiwango nilichopanga kusave kwa mwaka 2019 kimetimia. Kikubwa mwaka...
  16. D Metakelfin

    Nani role model wako na ungependa watu wajifunze toka kwake?

    Hi watanzania wenzangu nadhani katika juhudi za kuupiga vita umaskini na kujitahidi kuishi maisha bora. kuna baadhi ya watu wameku inspire,kukumotivate na kukuchochea pamoja na kukupa mafunzo mengi ya kimaisha. ombi langu kwa faida ya wote niliomba utaje watu wako ili mwingine ajifunze kwa...
  17. D Metakelfin

    Kwanini vijana wengi wa kitanzania wanalalamika maisha magumu!

    Wakuu husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini? kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then...
  18. D Metakelfin

    Nimeamini rasmi Rais kuna mahali anadanganywa

    Leo nimeona mambo ya kushangaza na nimekumbuka kuna msemo ulinenwa kuwa "usiahidi chochote ukiwa na furaha". Leo mheshimiwa Rais wakati akizindua majengo kule Dodoma ameahidi kuwa vijana walioshiriki amewaajiri rasmi Nanukuu; “Kuhusu vijana wa JKT walioshiriki kikamilifu kazi ya kujenga makao...
  19. D Metakelfin

    Askari JKU zanzibar wavamia kituo cha polisi pia wamteka trafiki

    Kamanda wa polisi mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Thobias Sedeyoka amesema polisi wanachunguza lengo la askari wa jeshi la kujenga uchumi Zanzibar (JKU) ambalo huku bara hutambulika kama Jeshi la kujenga taifa(JKT) kuvamia kituo cha polisi Madema mjini Unguja jana. Ameyasema hayo leo wakati...
Back
Top Bottom