Search results

  1. Gluk

    Bajaji ya abiria inauzwa

    Bajaji inauzwa bei sawa na bure ni kampuni ya Sinoray. Capacity cc200 Seats 8 Usajiri ni DSG full document Ni kununua na kuingia barabarani haina changamoto yoyote Bei ni Milioni 3,200,000 haipungui Pia naitoa kwa mkataba kama wewe ni dereva una leseni na una mdhamini. Mawasiliano 0758161628...
  2. Gluk

    Serikali inapoteza mapato katika kituo cha mabasi cha nyegezi

    Habari wanajukwa. Leo acha niwasanue wasimamizi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha nyegezi mkoani mwanza. Huenda hawajui haya au wanajua ila wanafumbia macho Kwanza wale wanaokatisha tiketi za kuingia ndani kituoni mara nyingi ukiwapa pesa kubwa wanakata shilingi 300 badala ya sh 200...
  3. Gluk

    Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

    Naomba kujua matumizi ya hizi dawa
  4. Gluk

    Ushauri wa kuhusu hii bajaji kampuni ya Sinoray J3

    Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji. Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba. Naombeni ushauri wenu...
  5. Gluk

    Hili la tukio la Kahama leo limeniacha kinywa wazi

    Habari wanajukwa, Bila kuwapoteza muda, acha niende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza moja kwa moja naomba kila atakayesoma hapa atambue kuwa mimi ni wa Kijani na njano. Sasa leo acha niwape hii kidogo. Leo ndani ya Manispaa ya Kahama kulikuwa na mkutano wa kile chama cha wasema kweli na...
  6. Gluk

    Hivi Tanzania kuna Cybercrime kweli?

    Habari. Naomba nisiwachoshe niende moja kwenye mada na pia nipate majibu kwa wahusika. Swali langu ni je ni kweli Tanzania tuna cybercrime kweli au hatuna? Na kama ipo kwanini matapeli wa mtandao wanazidi kutamba licha ya kusajiri laini kwa vidole na kurasimisha tukarasimisha? Kuna mdau wa...
  7. Gluk

    Naomba kujua kiwango cha pesa usichoruhusiwa kuvuka nacho mpakani

    Habari zenu waungwana nimepata dharura mara moja na niko nchi ya watu yaani Bujumbura Burundi, ila changamoto nimepata dharura ya kurudi Tanzania mara moja na pesa sitaki kuchaji sababu narudi soon, nimekuwa nikisikia mara mtu kakamatwa airport na milioni kadhaa sasa nashindwa kuelewa kama ni...
  8. Gluk

    Kwanini wagonjwa wa Saratani wengi wanatokea Kanda ya Ziwa?

    Habari wanajukwaa natumai kuwa wote tuko salama. Nimekuwa kimya kwa muda kidogo kuandika mada humu kutokana na majukumu mengi, ila leo kuna jambo limenishitua na nimeona siwezi kukaa kimya maana kila nikijaribu kukaa kimya nashindwa na nimeona nije kupata ufafanuzi hapa. Hapa JF kuna watu...
  9. Gluk

    Asanteni WIRE TUN na stark VPN

    Nimeamua kuwapongeza ninyi maana bila ninyi maisha yangekuwa magumu sana hususani kwa sisi tunaotegemea internet muda wote...Ila kupitia ninyi mmefanya maisha kuwa rahisi mno asanteni sana..
  10. Gluk

    Msaada wenu wana IT

    Habari Nisiwachoshe baada ya vifurushi vya internet kupanda na gharama kuwa kubwa nikaona sasa niachane na maswala ya kuweka bado na kuanza kutumia mambo yetu yale ya maVPN ili nipate free internet.. sasa tatizo linakuja kwenye kuongeza muda maana naona inakata kabla ya muda niliouweka Mimi...
  11. Gluk

    Ni zipi faida za utaratibu huu wa kuchumbia binti bila kuongea naye?

    Habari zenu wanaJF, Kama mjuavyo baadhi ya madhehebu hususani haya ya kipendekoste wana utaratibu wao wa kuchumbia ambao sharti uanze kwa mzee wa kanisani kumuelezea dhamira yako juu ya binti ambaye umempenda kabla hata hujaongea naye. Sasa hapa kanisani kwetu kuna binti mmoja nimemchunguza...
  12. Gluk

    Ushauri wenu juu ya mpenzi wangu huyu

    Habari Kwanza poleni kwa msiba wa taifa. Niende kwenye mada Kuna binti mmoja nimekutana nae mwaka mmoja uliopita nikampenda akazungusha zungusha mwisho akakubali kuwa na mimi. Ila baada ya kukubali kuwa na mimi alitoa sharti moja kwamba kama kweli nampenda anipeleke anitambulishe kwa ndugu...
  13. Gluk

    Mafuta ya kupikia yamepanda bei

    Wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo Mafuta ya alizeti lita 3 kutoka 8000 mpaka 15000 Lita 5 kutoka 12000 Mpaka 25000 Lita 20 kutoka 52000 Mpaka 77000 Tunasema mitano tena
  14. Gluk

    Mabinti punguzeni ushamba mnapokuwa hotelini

    Habari, sina mengi ya kuongea ila kuna jambo moja huwa naliona kwa baadhi ya mabinti na binafsi naona kama ulimbukeni au ushamba fulani pale unapompeleka lunch sehemu zile kubwa kubwa. Kuna tabia ya baadhi yao kuagiza vitu asivyoweza kutumia au asivyoweza kumaliza. Kuna mmoja leo kanikera...
  15. Gluk

    Kwa kikokoto hiki cha TRA bora kufunga biashara

    Aise kama kuna watu wanaisoma namba na wataisoma zaidi basi ni wafanyabiashara wa awamu hii maana kodi za sasa hazilipiki kabsa Sina mengi ya kuongea ila kwa hali ya sasa naona kama mtu una mtaji wako bora ukafanye biashara hata somalia maana kodi za hapa kwa sasa naona kama kukomoana na...
  16. Gluk

    Najiandaa kwenda kumpigia kura Tundu Lissu umbali wa km 200

    Licha ya umbali wa nilipojiandikishia kupiga kura na sheria za NEC kumtaka kila mtu kupigia kura pale alipojiandikishia tu. Basi mimi Gluk nimeshaandaa safari ya kwenda kupiga kula umbali wa KM 200 Maana naamini kura yangu moja inaweza kuwaondoa watanzania katika hiki kifungo cha zaidi ya miaka...
  17. Gluk

    USHAURI: Kwa Cybercrime na TCRA

    Habari zenu. kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kutapeliwa na matapeli wa mtandao na uharifu mwingine unaofanana na huo licha ya watanzania walio wengi kusajili namba zao kwa alama za vidole ila imepunguza tatizo na si kumaliza tatizo. Tatizo lingine ni la watu kuibiwa simu na ukifuatilia...
  18. Gluk

    Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

    Habari zenu. Mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kufifia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri kwenye siku zao za kuzaliwa kama zamani. kipindi hicho kila mmoja humu alikuwa na mpenzi humu,. Je...
  19. Gluk

    Mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo ndio wenye mapenzi ya dhati

    Habari. Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa muda sasa kuhusu aina mbili za mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo au wale wenye uwezo wa kipesa uliosimama wasio na maisha ya kuunga unga na super glue. Mosi, mabinti hawa hata unapoongea nao wanaongea point zaidi na wana uwezo mkubwa wa...
  20. Gluk

    Msaada wa fingerprint kwenye Samsung A51

    Habari wanajukwaa Simu hii japo ni mpya ila kwenye suala la fingerprint unaweza kuweka zaidi ya mara nne isitokea ikagoma muda mwingine inakubali ila muda mwingine inagoma. Hii ni tofauti na simu niliyoizoea ya J6plus ambayo ni nagusa mara moja tu. Naombeni msaada wa kitaalamu je tatizo hili...
Back
Top Bottom