Search results

  1. D

    Baadhi ya CCM kuungana na UKAWA

    siyo rahisi wanaccm wanaogopa kufukuzwa chamani, subiri siku ya kupiga kura ndiyo utajuwa uoga uliopo
  2. D

    Diallo una usafi gani wa kumsakama Edward Lowassa?

    Lowasa jembe la kukokotwa na maksai-wivu tu
  3. D

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    nikisema kinana, sema lete mbili. Tatizo letu wanaccm ni kutetea udhaifu na makosa ya watendaji wenzetu, akitokezea mwenzetu akiyasemea mambaya yale ili tujikosowe tunamuita mpinzani, huu ni kuuwa chama kama siyo kukizika kabisa! Msigwa ametusaidia sana kutuonesha wapi tulipopotoka si vyema...
  4. D

    Mawaziri wa Kikwete wanasema uongo

    MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSEMA UONGO NI SERA YA SERIKALI AU NI SERA YA CHAMA CHA MAPINDUZI? JE WATANZANIA NI YEPI WATAJUWA NI YA UKWELI AU UONGO? Hali hiyo ilitokea juzi wakati Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo (Tatoa), walipokutana na Kamati ya Kudumu ya...
  5. D

    Balozi Khamisi Kagasheki anajijuwa kwa hili

    WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII ANAHUSIKA NA ULAJI WA PESA YA ZILIZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KWENYE NYUMBA ZA SHIRIKA HILO BURKA ARUSHA. Ukifika Arusha mjini kama unaelekea sombetini au aljoro au kingori ama duka bovu utapita sehemu moja inayoitwa burka, Burka ni eneo lilipendwa sana...
  6. D

    Nguvu ya vyombo vya usalama dhidi ya usalama wa raia

    SERIKALI NA NGUVU YA VYOMBO VYA DOLA-POLISI,JESHI, USALAMA WA TAIFA NI KUWAPA SUGU WANANCHI. Serikali yoyote inayotumia vyombo vya dola kunyamazisha watu kwa nguvu mwisho wa serikali hizo huishia katika machafuko ya vita wenyewe kwa wenyewe au watu huchukuwa utawala kwa nguvu baada ya vyombo vya...
  7. D

    Zitto ni kiongozi shupavu

    ushupavu wake umetoka wapi? chadema ilikuwepo kigoma wakati zitto akiwa shule ya msingi! unakumbuka enzi ya kaburu? zitto anataka kukuza cv yake lakini ndiyo hivyo tena maji yamezidi unga, "SAMAKI ANANGUVU AKIWA MAJINI"
  8. D

    Tundu Lissu na Kiinimacho cha Muungano

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIO MADHUBUTI. Inapokalibia siku ya kuanzimisha siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar napenda kupongeza waasisi wa muungano huo mzee karume na Kipenzi baba wa taifa mwalimu Nyerere ambao umedumu kwa miaka 49. miaka 49 ya muungano ni miaka mingi licha ya...
  9. D

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    mhhhh!!! wanandoa wanafika pahali wanasahau kwamba tendo la ndoa ni tendo takatifu lilopewa sala na mibaraka na watumishi wa mungu, siki zote KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA NI LAZIMA MPIGE MAGOTI NA KUOMBEA KILE KITENDO MNACHO TAKA KUFANYA KWA VILE NI TENDO TAKATIFU LA NDOA. Bila sala ndiyo...
  10. D

    Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

    ULIKUWA MGAO FEKI WA UMEME ILI KULA PESA ZA TANESCO SASA NAONA DEAL IMEHAMIA VITA NA MALAWI. Tanzania imekuwa ni nchi ya watu wajanja sana katika maisha yao ya kila siku, ndiyo maana inaitwa 'BONGO' Inaitwa bongo kwa vile kila mtu anajitahidi kutafuta mbinu ili aweza kuishi na kumudu maisha...
  11. D

    Misrepresentation in both local and international media that there was rising tension between malawi

    Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.’ In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and...
  12. D

    Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

    hizo ni dili za wakubwa, malawi ni kisingizio!!!
  13. D

    Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

    ULIKUWA MGAO FEKI WA UMEME ILI KULA PESA ZA TANESCO SASA NAONA DEAL IMEHAMIA VITA NA MALAWI. Tanzania imekuwa ni nchi ya watu wajanja sana katika maisha yao ya kila siku, ndiyo maana inaitwa 'BONGO' Inaitwa bongo kwa vile kila mtu anajitahidi kutafuta mbinu ili aweza kuishi na kumudu maisha...
  14. D

    Edward Lowassa: The Commander in Chief ( in waiting....)

    hata kwa uchawi hawezi kuwa kamanda in chief
  15. D

    Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

    mwandishi wa kujitegemea hata picha moja ya kutuonesha madhari ya mkutano ulivyokuwa hakuna!!! mwandishi au mwandikiwa?
  16. D

    Iddi Simba kuhamia CHADEMA

    Atahamia chadema lini na anakesi ya kujibu? na majaliwa ya mahakama zetu zinasubiri mwongozo! yamkini akitoka chadema itakuwa na wanachama wa kutosha na kwa kulingana na vitabu vya dini kuishi sana miaka 70
  17. D

    Ulikuwa mgao feki wa umeme ili kula pesa za tanesco sasa naona deal imehamia vita na malawi.

    ULIKUWA MGAO FEKI WA UMEME ILI KULA PESA ZA TANESCO SASA NAONA DEAL IMEHAMIA VITA NA MALAWI. Tanzania imekuwa ni nchi ya watu wajanja sana katika maisha yao ya kila siku, ndiyo maana inaitwa 'BONGO' Inaitwa bongo kwa vile kila mtu anajitahidi kutafuta mbinu ili aweza kuishi na kumudu maisha...
  18. D

    Mahesabu ya kumuondoa kiongozi wa madaktari ni udhaifu pia!

    Udhaifu ni kitu kibaya sana, udhaifu ndani ya nyumaba huzaa nyumba legelege na yenye wasiwasi!!! mahesabu ya kukatisha maisha ya kiongozi wa madaktari nchini ni moja ya udhaifu wa serikali yetu kuogopa na kushindwa kutatua kero za watanzania, kwa kujidai vipofu wa kutoona shida za watanzania, ni...
  19. D

    Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

    Wamuchukulie maamuzi magumu ndugu shibuda kwa dhambi gani aliyofanya? kama kutangaza kuwania urais 2015 yeye si wa kwanza hata zitto kabwe aliwahi kujitambulisha hivyo sasa iweje zitto hakuchukuliwa hatuwa na shibuda achukuliwe?
  20. D

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    watendaji wote wa serikali kama wangekuwa wanatumia nafasi zao kuendeleza makwao kama jamaa anavyosema sehemu za nchi hii zingine zisingekuwa na na barabara!!!! si maneno ya kuhimiza hayo ya kupendelea pale unapotoka labda kama ni sera za baadhi ya vyama vya siasa.
Back
Top Bottom