Search results

  1. Blacksmith

    Mbio za IKULU za Ridhiwani zaelekea kugonga ukuta.......

    kwa busara zipi alizonazo?
  2. Blacksmith

    Hp Probook 4510s with windows 7 Help Pls???????

    HP ProBook 4510s Notebook PC*-* Download drivers and software - HP Business Support Center visit this link angalia kwenye category ya "Software - Multimedia"
  3. Blacksmith

    Msaada;how to run win applications in linux

    hw inamaanisha how nadhani wewe ulitaka kusema who
  4. Blacksmith

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    So that makes you Pro! kwa kuwa una Signed book yake. nimekupata Professor.
  5. Blacksmith

    Msaada;how to run win applications in linux

    Inaonekana kama nia yako ni kumkatisha tamaa kwa lile analotaka kufanya.hiyo namana ya kumpa mtu ushauri.
  6. Blacksmith

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    jidanganye ndugu, A main principle and practice of open source software development is peer production by bartering and collaboration, with the end-product, source-material, "blueprints," and documentation available at no cost to the public.
  7. Blacksmith

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    Sasa unauliza nini hapo ndugu? unao uhuru wa kutumia bila malipo hivyoni bure
  8. Blacksmith

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    Ubuntu ni free of charge inaweza kufanya yote ambayo unafikiria kufanya kwenye computer tatizo pekee ni uduni wa elimu yetu na tatizo la kutokutaka kujifunza kipya. kama mheshimiwa alivyogusia swala la Internet Cafe nadhani Opensource ingekuwa ni mwokozi kwani usingesumbuliwa na virus:shetani...
  9. Blacksmith

    Msaada;how to run win applications in linux

    Ningependa kumjibu huyu jamaa anayejiita "redSilverDog" hilo sio jibu la kumpa mtu.wewe ukiwa umejitambulisha kuwa na ujuzi katika fani ya ICT nadhani inaonyesha kwa jinsi gani ulivyo na upeo haba. Huyo jamaa inawezekana ana computer moja (PC au Laptop) lakini akiwa anataka kupiga ndege wawili...
  10. Blacksmith

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    Ndugu yang Shy, muda huu ni ulimwengu mpya kwani sasa tuna OpenSource software kwa ajili ya kazi zote kuanzia Drawings,Web Server,Web Design n.k. ambazo zina uwezo mkubwa tu na usalama zaidi.Ukizingati hali ya kiuchumi kwa taifa letu ni kusikitisha nadhani ilikuwa ni wakati wa kukumbatia hii...
  11. Blacksmith

    Msaada : Jinsi ya kufuta windows os kwenye pc

    Mr. Baina kutatua tatizo lako Click Start > Run then kwenye box itakayojitokeza andika msconfig .Kwenye menu iliyoko top click Boot button hapo utaona menu yako ikiwa na list yenye idadi ya lines za windows Xp kama zinavyojitokeza kule kwenye menu ya mwanzo unapowasha computer yako.hapo...
Back
Top Bottom