Search results

  1. S.Liondo

    Naomba msaada wa namna ya kuondoa Makohozi kooni

    Yaani sielewi hata unazungumzia nini. Ungekuwa wazi maana mimi niko serious sifanyi mzaha.
  2. S.Liondo

    Naomba msaada wa namna ya kuondoa Makohozi kooni

    Wanajukwaa, naomba msaada ili nijue jinsi ya kuondokana na makohozi kwenye Koo. Ninasikia ni kama kitu kimekaa kwenye koo, nikijaribu kumeza hakishuki na pia hakitoki. Ni hali ambayo sikuwa nayo lakini tangu inianze ni muda mrefu sana. Inanikera sana. Nimejaribu kuwaeleza madaktari lakini...
  3. S.Liondo

    Walionaswa vituo vya Masaji watoa ushuhuda mzito juu ya mambo yanayofanyika ndani ya vituo hivyo

    Ila hawa OFM hii shughuli yao ya kuingilia faragha za watu na kuzianika mbele ya jamii itakuja kuwagharimu siku moja.
  4. S.Liondo

    Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Na ninyi mmechukua hatua gani baada ya kujua Chadema wamefanya uhalifu huo?! Au hapa mtandaoni ndio mahakamani!
  5. S.Liondo

    Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

    Yaani huyu Mambosasa ana uongo wa kijinga kweli. Hauhitaji kuwa na diploma kujua kuwa anachoongea ni cha kupikwa.
  6. S.Liondo

    Wana CCM wenzangu mnanishangaza sana. Mwenyekiti tutamwambia haya myafanyayo

    Na kweli wasiwafundishe, kama mmeamua kusherehekea kwa majonzi ni haki yenu kabisa.
  7. S.Liondo

    Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    Sasa faida gani wamepata maana wameishia kukosa ruzuku yote.
  8. S.Liondo

    Usajili wa Drone ni dola 100 (Tshs 230,000) na kwa mkoa mmoja ukihama mkoa (location) unasajili upya tena

    Nafikiri muda si mrefu nitalazimika kuwasajili njiwa niliowafuga maana hata wao hupaa angani.
  9. S.Liondo

    Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

    Hapa wataitwa viongozi wa nyumbu, lakini wakishahamia kwenu wanakuwa mashujaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S.Liondo

    Utalii: Simba 17 wahamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi - Chato

    Mbona Nairobi itakuwa mtoto sana kwa Chattle. Sema itakuwa kama New York. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S.Liondo

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Jamani kukiwa na dalili ya huu ushauri kuzingatiwa mnitonye. Maana ninahisi kuna biashara ya kujaribu kupaka hewa rangi inaendelea.
  12. S.Liondo

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Kumbe ukiwa na digrii nne unakuwa na ubavu wa kupiga watu marufuku kufunga ndoa mpaka wawe na vyeti vya kuzaliwa!
  13. S.Liondo

    CCM ilishapoteza Dira

    Chama ni wanachama, hakuna chama bila wanachama. Acha kucheza na akili za watu.
  14. S.Liondo

    Upinzani mkitii maagizo toka juu mmekwisha!

    Ila chama kubwa ndio wanapiga ruzuku kubwa kuliko wote,si unajua tena.
  15. S.Liondo

    Hali inaogopesha kidogo kwa maisha ya wananchi Zimbambwe

    Yaani kikubwa ambacho nimekiona kwa waafrika wengi ni kuwa tulipata uhuru wa kujitawala kama nchi lakini fikra bado ni za kitumwa sana na hapa ndio penye mzizi wa tatizo letu.
  16. S.Liondo

    Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga aomba Rais Magufuli atawale milele

    Sasa wewe unafikiri rangi ya kijani inawakilisha nini!
Back
Top Bottom