Search results

  1. K

    Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Pengo hakuwahi kusema hivyo. Fanya utafiti wako vizuri!
  2. K

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    Kumbe alikuwa mwenyewe kwenye hadhira ya dini, akasahau yeye ni mwanasiasa. Huwezi kutenganisha dini na siasa. Dini na siasa ni maisha ya mwanadamu. Hakuna mwenye hati miliki ya kingine! Kama vile ambavyo Kikwete amezungumzia masuala ya dini ndivyo ambavyo Kiongozi wa Dini anaweza kuzungumzia...
  3. K

    Padri amkabidhi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ambaye ni Katibu wa parokia yetu kusoma waraka wa TEC

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. K

    Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Safi sana kama tamko limewafikia wengi!!
  5. K

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Nani amekudanganya fedha ya TEC inayotolewa na serikali haifanyiwi ukaguzi?? Issue hapa ni mkataba wa bandari. Usitutoe kwenye mada!!
  6. K

    Mbeya: Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali waachiwa kwa dhamana

    Imebidi mashtaka yabadilishwe! Sasa ni uchochezi sio uhaini!
  7. K

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Pasco aliyekupatia haki wewe kutoa maoni yako ndiye aliyewapatia TEC kutoa maoni yao. Hakuna mwenye monopoly ya kutoa maoni. Sauti ya kinabii ni pamoja na kuwasemea watu. Hata hivyo ukumbuke kuwa maaskofu wa Tanzania ni watanzania kama wewe. Mali za watanzania ni mali zao, hivyo wana haki ya...
  8. K

    Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Vizuri. Cheti cha form IV hakumuondolei mtu ujuzi alioupata akiwa chuoni plus uzoefu.
  9. K

    Kuna tofauti ya Machinga (matching Guys) na wahuni walio kwenye hifadhi ya barabara

    Kumbe! Sikujua maana ya machinga ni matching guys!
  10. K

    TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    Pole sana kwa Mheshimiwa Rais na familia yake. Marehemu apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom