Search results

  1. Malcom_X

    USHAURI UBORA WA PASSO 1.3 TWIN CAM

    Habari yenu wadau, na kwa wale wataalamu wa mambo. Napenda kufahamu hii gari ubora na udhaifu wa wake. Na ikiwezekana ina Piston 3 au 4?
  2. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Habari Wadau, Nimepata tenda ya kusimamia mashamba ya parachichi ya Waholanzi sasa wamenipa pesa kiasi ya kununua usafiri Off- Road. Kuna bajeti ya 20M kwa ajili ya gari hapa nafikilia 8M natia mfukoni alafu 12M nitafute hiki kigari SUZUKI JIMNY je kitahimiri mikiki ya huko shambani kwa WAZOEFU...
  3. Malcom_X

    NAFASI YA KAZI YA SALES EXECUTIVE KAHAMA

    Hii ni kwa wakazi wa Kahama, Wanahitajika Maafisa mauzo 20, wahi nafasi ni chache. Elimu Form Four. Tuma maombi yako, email: dnlysang@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Malcom_X

    Ukweli kuhusu biashara ya Forex

    Habari ya wakati huu wanajamvi! Leo nimeona vema niwaletee mezani mada hii. Katika harakati za kupambana na Maisha kama kijana pia mwenye kiu ya kufanikiwa nilikutana na jamaa mmoja mwenye USHAWISHI wa hali ya juu hapa JF baada ya kusoma Nyuzi zake kali zilizoteka hisia za vijana wengi...
  5. Malcom_X

    IPI KALI BOXER BM150 .V/S. TVS HLX 150

    Shusha maoni yako.......
  6. Malcom_X

    Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

    Habari wadau, nimenunua pikipiki mpya Boxer BM 150, kwa ajili ya matumiz binafsi napenda kufahamu ni mda gani sahihi au ni baada ya KM ngapi natakiwa kubadili Engine oil. Shukrani sana.
Back
Top Bottom