Search results

  1. AKYOO ELIUD

    TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    MUNGU AMJALIE PUMZIKO LA AMANI MZEE WETU NDESA
  2. AKYOO ELIUD

    Sirro: Sakata la kina Roma kutekwa ni jambo la kawaida, awashangaa wasanii na Makonda kuingilia

    SAWA NI KWELI KWAMBA WANAHITAJI MUDA WA KUTOSHA ILA siyo wote akili zetu hazina kumbukumbu sawia, kama ni muda tuliwapa wakutosha kwenye utekeaji wa Ulimboka, Kibanda na mauaji ya MAWAZO hivyo tunaweka kando suala la Roma atupatie majibu sawia katika hiyo mifano ya kitambo na mingine...
  3. AKYOO ELIUD

    Anayewachukia Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar afikirie mara mbili

    Ni kweli kwa sababu Ben saanane alianika upupu wa phd akapotea na huyu dogo hatusemi kitu yeye ana super phd ya hayo mambo
  4. AKYOO ELIUD

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    NYONGEZA: hakuna nchi iliyofanikiwa kwa kutumia mfumo wa kimla hapa duniani , bali nchi hiyo ipo katika ulimwengu wa kufikirika, lazima watu wawe huru na kutumia uhuru huo kujiletea mafanikio siyo mtu mmoja na chama kimoja tu wapewe haki.
  5. AKYOO ELIUD

    Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    MSAMEHENI HUYU KWA MAANA UFAHAMU WAKE UMEISHIA KWENYE KUPIGA RAMLI NDIYO MAANA ANALINGANISHA MZOGA NA MAITI AKITAKA KUPATA TASWIRA YA KIUMBE HAI, RWANDA, BURUNDI, KONGO NA ZINAZOFANANA NA HIZO HAZIWEZI KUWA MIFANO YA UTAWALA BORA NA DEMOKRASIA.
  6. AKYOO ELIUD

    Kwa hilli tuna lundo la viongozi wasiofaa hata chembe

    Nianze kwa kumnukuu m/kiti wa kamati ya bunge ya mali asili na utalii, Ndg . Lembeli (MBUNGE) Amessema--- kuna watanzania wachache wanaoshirikiana na wa majangili katika kuiba na kusafirisha wanyapori hai, watanzania hao wanashiriki kufanikisha wizi huo. mwisho wa kunukuu. HIVI KWELI HUYU...
  7. AKYOO ELIUD

    kwa mwendo huu tutafika???

    Hawa ndiyo vinara wetu wa kuchakachua haki zetu, check wanao ongoza kwa kupata mlungula hapa TANZANIA 1. JESHI LA USAALAMA WA RAIA (POLISI)65.1% 2.MAHAKAMA 56.4% 3.MAMLAKA YA USAJILI WA UZAZI NA VIFO (RITA) 46.7% 4. JESHI LA MAGERZA TANZANIA 43.2% 5.MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA 40.8% 6. MAMLAKA...
  8. AKYOO ELIUD

    CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

    Hakuna mia hisiyo na moja. Wataisoma namba tu, wapende wasipende big up m/kiti uliyeshinda
  9. AKYOO ELIUD

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    safi sana, ameweza kuonyesha kwamba pinda alipotoka India alitakiwa kufanya ninni??? alipoona serikali ya wenzetu inavyotumia raslimali zao vizuri, Pinda alisema - serikali ya India viongozi wake wote wanatumia magari ya kawaida ambayo mengi hata hayana 4wd kama kiongozi anataka gari la gharama...
  10. AKYOO ELIUD

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    hao ambao wanaiba hadi mchana kweupe ndiyo wankufaa???? Juzi hapa wamesafirisha wanyama hai, askari mwema kasanua issue hao kwako ndiyo safi???? Madini wamegawiana wewe uhoni, ebu tuambie ulitaka afanye nini??? Kuonyesha uzalendo wake?????????????
  11. AKYOO ELIUD

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Acha kukurupuka wewe binaadamu, kama hauna cha kuchangia bora pumba zako ukaziweka kando, unakumbuka pinda alipoyoka ziara nchini india alisema nini kuhusu haya mashangingi na matumizi yasiyo na tija kwa taifa??
  12. AKYOO ELIUD

    Kikwete+ikulu /mnunuzi wa dowans=??

    Inashangaza sana lakini kweli, rais kikwete leo kakutana na mkurugenzi wa kampuni iliyonunua mitambo ya dowans, hivi kweli kwa mauzauza na kichefuchefu cha RICHMOND na baadaye DOWANS rais anaweza je kumkaribisha mtu mwenye mahusiano ya kumiliki kampuni tata ikulu, mbona kuna maeneo mengi tu...
  13. AKYOO ELIUD

    Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

    tumeshuhudia Tundu Lisu na nwenzake wakiwa wameshikiliwa na jeshi la polisi tarime, hivi kweli siyo kwamba serikali na jeshi la polisi imejipalia mkaa kwa kumpeleka Lisu kuona hali halisi ya hukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelezwa na jeshi la polisi na magereza???
  14. AKYOO ELIUD

    siasa v/s taaluma

    hivi taaluma za watanzania huwa zinaheshimika? naona kila mahali wanasiasa ndo wameshika atamu, daktari bosi wake mbunge, enginia kwa diwani hakoi, hakimu naye hana pakupumulia, kuna taifa lilopiga hatua kwa kuwategemea hawa wanasiasa?>??
Back
Top Bottom