Search results

  1. Logo

    Nipokeeni

    haya tumekupokea
  2. Logo

    Mshahara: PGSS 5 ni kiasi gani?

    Ndugu zangu, anayejua anifahamishe kuwa Mshahara ngazi ya PGSS 5 ni sawa na kiasi gani? Asante.
  3. Logo

    SEARCH FOR COMMON GROUND-job

    Duh kumbe nawewe uliomba? Nilishaanza na kazi mimi
  4. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    Jaman mshare hapa kila mtu aione ahahahahahaha
  5. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    MziziMkavu Chris Lukosi
  6. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    Mnapolike mnashare na kushare kwenye lifacebook na litwita ila vote ziwe nyingi kabisaaaaa na atakoma aliyefanya hivyo
  7. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    Please Vote: Kama nawewe unaungana nami kuwa mwanasiasa aliyetengeneza mkanda wa Lwakatare alaaniwe ungana nami:-
  8. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    Hapo sasa watyu wameanza kujaa leo
  9. Logo

    Mwigulu akiri kuhusika na video ya lwakatare

    Please Vote: Kama nawewe unaungana nami kuwa mwanasiasa aliyetengeneza mkanda wa Lwakatare alaaniwe ungana nami:- Fungua hiyo link hapo juu mwaga maombi yako mara moja
  10. Logo

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Please Vote: Kama nawewe unaungana nami kuwa mwanasiasa aliyetengeneza mkanda wa Lwakatare alaaniwe ungana nami:- Jamani kama siyo yeye tupigeni kura ya maombi tu hapo kwenye hiyo link hata siku tatu ni nyingi mtamuona kama ni mzima
  11. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Please Vote: Kama nawewe unaungana nami kuwa mwanasiasa aliyetengeneza mkanda wa Lwakatare alaaniwe ungana nami:- fungua hapa uanze maombi yako moja kwa moja
  12. Logo

    Mkanda wa Video wa Lwakatare: Piga kura yako.

    Piga kura yako hapa. http://poll.pollcode.com/sdqdu
  13. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Basi angalau Zaburi 108 sasa ahahahahaha
  14. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Pole sana mheshimiwa! Umeongea point ila haijafika kwenye point of view! Hata kama unaichukia siasa hujui kuwa unaishi kwenye siasa? Kama wewe unajituma katika shughuli zako na umefanikiwa na sisi tunaonyanyaswa huku siku tukianzisha vita utabaki na mafanikio yako hayo? Wewe si utakimbia sana...
  15. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Maombi yakufunga na kuomba yataisha hata polisi hawajui kuwa yalikuwepo ahahahah
  16. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Biblia ni zaidi ya Zaburi 109. Soma mafungu mbalimbali au biblia nzima ndipo unaweza kutambua uhalisia wa kila jambo!
  17. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Tofautisha kulipiza kisasi na kuomba Mungu asimame kidete kuwatetea na nguvu za maadui na kuwaangamiza watesi.
  18. Logo

    Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Imeniuma sana baada ya kupata maelezo ya mateso ya kijana kutoka Bukoba, nikajiaminisha kuwa Mwigulu Nchemba niye mhusika mkuu wa hili suala pale alipotamka anayo video ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji. Mwigulu asikudanganye mtu, usiombe upate kisasi cha Mungu kwa haya unayoyafanya...
  19. Logo

    Tunashuhudia amani kwa mara ya mwisho Tanzania

    nimefurahi umeongea pointi ya nguvu sana! Ila hii serikali sidhani kama itatusaidia mpaka hili tatizo litatulike labda kama Dr. W Slaa atakuja kuwa Rais hapo sawa! Ila waliomo saivi.......
  20. Logo

    Tunashuhudia amani kwa mara ya mwisho Tanzania

    Kwanza nakupongeza wewe ni msomi comment yako imenifurahisha, sukari...sukari...sukari..chumvi...chumvi...na baadaye chunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ahahahah! Ukweli ni kwamba nimekosea tu mkuu, lengo langu lilikuwa "Tusikae kusubiri serikali itutekeleezee kutulindia amani, kwani...
Back
Top Bottom