Search results

  1. J

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Nenda katibiwe hospitals kubwa kama Muhimbili Au Agakhan? Huyo Dr wa Amana uwezo wake ndo ulipoishia ila kuna vipimo vingi tu unapaswa kuvifanya na wataalaam wabobezi. Nenda Muhimbili uokoe maisha yako.
  2. J

    Kwa Wanaume: Ukifuata diet ya Prof. Janabi ulijari wako Kitandani umekwisha

    Hivyo vitu vyote ulivyotaja ni viambatanishi tu but make sure you have enough energy/calories. Ni Sawa nakusema gari gari umeifanyia service kali oil mpya, hydraulic mpya, radiator umeweka coolant new halafu hujaweka mafuta halafu washa utembee!! Dadeek!!
  3. J

    Kwa Wanaume: Ukifuata diet ya Prof. Janabi ulijari wako Kitandani umekwisha

    Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha Wanga (Carbohydrates). Nawatahadharisha wanaume wenzangu ili upige show kwa mkeo, girlfriend na...
  4. J

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Mwanangu nipo hapa Cate hotel ndo nataka kurudi town. Nakiwaza sana hichi kipande cha nane nane mpaka Msamvu!! Na hizi pombe za Eid!!! Pale kama kuna Izraeli mtoa roho!!!
  5. J

    Jiji la Mwanza kuna kitu hakiko sawa

    Daah!! Aisee umenishitua!! Itakuwa balaaa!! Na hao TANROAD inatakiwa waanze kujipanga lakini pia Mkoa wajipange ili ili iwe at least njia nne yaani mbili kuingia na mbili kutoka City Center.
  6. J

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Wapo usingizi wa pono kama komba aliyevimbiwa na mnazi!!! Wanajua kufukuzia safari za posho tu Badala ya kuzama kwenye kazi zao za ki intelligence.
  7. J

    Tanzania ni namba 2 Afrika kwa kuwa na mifugo mingi ila haichangii chochote kwenye uchumi. Serikali anzisheni tozo ya mifugo

    Mjinga sana wewe! Uliwahi kujiuliza Nchi hii ina bucha ngapi na kila bucha inalipia leseni na mapato sh ngapi? A unajua ng’ombe mbuzi ngapi zinaenda kuuzwa nje? (Live Animal) achilia mbali exported packed meat?? Hapo bado hujasema ngozi na other products!! Ama kweli Nchi hii bado ina wajinga...
  8. J

    Vijana wa Mradi wa BBT wadai kutelekezwa na Serikali. Wasema wanaishi kwa mateso na mashaka

    Huyu Bashe huwa najiuliza alipewaje huo uwaziri? Hana sifa huyo hata hao wanyamwezi wa hapo Nzega washamchoka sema hela anayotembeza na kuwachinjia ng’ombe ndo inamsaidia kurudi Bungeni; na huo mradi CAG aukague lazima atakuta upigaji, maana pale Chinangali hakuna hata Mhindi au ulezi uliolimwa...
  9. J

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Bilionea wa mchongo huyo!! Anasema alipanda boda boda toka Dar mpaka Wami kukwepa police kumbe alikuwa anakimbia deni!! Kajificha vichakani huko Arusha. Asakanywe popote alipo arudishwe Dar kwa gharama zake. Kafanya mambo ya kingese sana.
  10. J

    Bashe jitokeze utueleze ulipofikia na BBT

    [emoji16][emoji16][emoji16] Mheshimiwa anajiandaa na uchaguzi 2025 unatarajia hela atoe wapi? Na wale vijana “wakulima wa mchongo” hawaonekani pale. Hakuna dalili ya wakulima wanaochapa kazi pale.
  11. J

    Naombeni msaada kuufahamu hiki kiitwacho Bitcoin?

    Utapigwa achana nao matapeli yamejaa huko!! Kuna kampuni kama safeland nk ni matapeli, utaliwa hela yako.
  12. J

    Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Bro unaonekana hujui malengo ya JF!! Hapa tunapeana mikakati ya kufanikisha kibiashara, kilimo, ufugaji nk; sasa wewe unaweka siri ili ikusaidie nini? Weka mambo hapa ili tujifunze kama huna la maana Kaa kimya sio kila mtu unamwambia akufuate DM!
  13. J

    Bashe jitokeze utueleze ulipofikia na BBT

    Nimepita juzi kwenye Mradi wa BBT Dodoma Chinangali, Hakuna zao walilootesha mpaka sasa, wameishia kujenga uzio na nyumba za kuishi kama apartments! Sasa najiuliza kuna Mkulima kweli pale? Hakuna cha trekta Au watu wanapiga jembe!!? Usanii mtupu! Hii project ikaguliwe na CAG na kama kuna upigaji...
  14. J

    WAZIRI MASAUNI ATUHUMIWA KUKWAMISHA MASLAHI YA ASKARI WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA MASLAHI YAKE.

    Daaah!! Yaani wazeee hamuachi huyu Masauni nae akafurahia mwaka mpya!!!? Yaani mwaka bado mbichi kabisa wazeee mmewasha moto!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
  15. J

    Familia yagoma kuzika baada ya ndugu yao kufia hospitali akitaka kujifungua

    Kwenye hili sakata lazima kuna uzembe wa watoa huduma. Hata kama hakuwa na hela sioni sababu ya kushindwa kumzalisha; iwe kwa njia ya kawaida au operation. Walipaswa wahakikishe mama anajifungua na kama kuna madai yangefuata baadae Na sio hivyo walivyofanya. Wahusika wawajibishwe kwa mujibu wa...
  16. J

    Baraza la Madiwani Manispaa ya Morogoro livunjwe, limeshindwa kusimamia Manispaa

    [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji241][emoji241][emoji241][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
  17. J

    Baraza la Madiwani Manispaa ya Morogoro livunjwe, limeshindwa kusimamia Manispaa

    Manispaa ya Morogoro inaongoza kwa kuwa na huduma mbovu za Barabara nje ya mji na Maji. Nje ya Mji ndiko wanakoishi wakazi wengi sio hapo mjini kati lakini mmeshindwa kuwatendea haki. sijui Mkurugenzi na Madiwani wake wanafanya kazi gani? Ni viongozi walioshindwa kabisa kutengeneza barabara za...
  18. J

    Maex muwe mna move on

    Limeamua kutimua vumbi barazani ilmradi kila mjumbe arushe neno!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
  19. J

    Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Hii Manispaa ya Morogoro ni hovyo sana!! Hawa jamaa hawajengi barabara za rami za mitaani tofauti kabisa na Halmashauri za Manispaa zingine! Sijui viongozi Mbunge, Meya, Madiwani na Mkurugenzi wanawaza nini!!? Hata hawana. Uchungu kabisa na Wananchi wao. Hebu Nenda Manispaa za Tabora na Kigoma...
Back
Top Bottom