Search results

  1. M

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu. Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
  2. M

    8 Questions Vodacom Tanzania Won’t Answer On $350 Million Scandal

    1. Since Vodacom Tanzania uncovered the scandal in 2012, why has it kept it a secret and not reported the matter to the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) and the Ministry of Communications, Science and Technology as required by law? 2. If bribes did not exchange hands, why...
  3. M

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Haya makampuni ya ulinzi ya kimataifa yanafanya utapeli mkubwa sana nchini na kuwapunja wafanyakazi wa Tanzania. Nimeambiwa hata kampuni ya KK wanafanya mchezo huu. Wao wanaajiri wafanyakazi wachache sana, halafu wakipata tenda kubwa wanatumia wafanyakazi wa kampuni ndogo za ulinzi za Tanzania...
  4. M

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Hii kampuni ya Security Group imekuwa ikipewa tenda kubwa kulinda mabenki ya kimataifa, kumbe ni wezi watupu. Serikali ichukue hatua haraka kuifuta isiendelee kuwanyonya Watanzania kwa kuwavalisha uniform za kampuni hiyo kumbe wala siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo.
  5. M

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Mchafu ni mchafu tu na atabaki mchafu. Lowassa ni mchafu wa maadili, hata Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alijua hilo na alituonya tuepukane na huyu mtu. Ni kama nguruwe amezoea kuchea kwenye matope, hata umuogeshe vipi halisi yake ni kuchafuka tu na ataendelea kuwa mchafu tu come what may.
  6. M

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Nimeajiriwa na uzalendo wangu, wenye roho nyepesi kama kuku wanajulikana. Au siyo Panzi?
  7. M

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Tunasherehekea miaka 50 ya uhuru mwezi ujao lakini inasikitisha kuona kuwa baadhi ya Watanzania, wengine wakiwa "Great Thinkers" wa humu JF, hawana uwezo wa kuwa na fikra huru. Wamelishwa fitna kuwa Samuel Sitta ni mnafiki basi wanaimba tu wimbo huo kama steji shoo wa Ngwasuma au Twanga Pepeta...
  8. M

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Kibanda ni kibaraka wa mafisadi. Hakuna asiyejua kuwa Kibanda anatumiwa kama "attack dog" (mbwa wa mashambulizi) na Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge dhidi ya Samuel Sitta. Hicho kitabu ni dhahiri kuwa kimefadhiliwa na hao mafisadi ambao Kibanda anawatumikia. Ni upumbavu mtupu...
  9. M

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Kubenea si mtu professional, hata hiyo editorial yake kaandika kidaku na kuonesha chuki na visasi dhidi ya Samuel Sitta ambaye ni kipenzi cha Watanzania wengi. Kubenea anasema Sitta ni "kibarua" kwenye serikali ya Kikwete. Huu ni utoto na kutojua sheria, Sitta ni waziri kwa mujibu wa katiba ya...
  10. M

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Reginald Mengi, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP amekuwa akimlea Saeed Kubenea kama mtoto wake kwa miaka mingi. Alivutiwa na Kubenea baada ya kuhisi kuwa huyu ni kijana shupavu anayepambana na ufisadi bila woga. Kutokana na hilo, Mengi alijishusha akawa kama baba na rafiki wa karibu wa...
  11. M

    Scandal: Wakati Watanzania milioni 3 wana njaa, serikali inauza chakula Kenya!

    Mashirika kadhaa ya misaada kwa jamii yametoa tahadhari ya kuwepo kwa dharura ya upungufu mkubwa wa chakula Tanzani na kusema zaidi ya watu milioni 3 nchini wanakabiliwa na njaa. Wakati mashirika hayo yanaomba msaada wa chakula kwa Tanzania, serikali imesema kuwa Tanzania ina ziada ya chakula...
  12. M

    Kilimanjaro: From National Icon, to Kempinski, to Hyatt, and now finally to WikiLeaks Hotel!

    Mimi nina jina zuri zaidi, iitwe The Kilimanjaro "Masutisuti" Hotel.... Au vipi jamani?
  13. M

    Presidential gifts: Mkapa na bakuli ya dhahabu, Kikwete na designer suits

    Lessons from WikiLeaks presidential bribery claims Tuhuma za WikiLeaks zimetufundisha mambo mengi sana kuhusu masuala ya maadili, mwenendo wa Ikulu na wafanyakazi wa serikali. Baadhi ya mafunzo hayo ni kama hivi: 1. Rais wa Tanzania hununuliwa nguo zake zote. Huko Marekani Rais wa nchi hununua...
  14. M

    Makala hii katika The African ya leo ni kiboko

    Mimi sisomagi magazeti yanayomilikiwa na fisadi Rostam Aziz -- The Africa, Mtanzania, RAI na MwanaHalisi (Yes, MwanaHalisi, kwani Kubenea naye kanunuliwa na Rostam siku hizi). Mwandishi wa habari yoyote huru na makini hawezi kukubali kuajiriwa na Rostam Aziz. It's a matter of principle.
  15. M

    REVEALED: Mgao wa umeme kuendelea mpaka mwaka 2013!

    Wewe kweli akili zako Zagazaga, yaani unajaribu kufuta ukweli wa historia na kudai eti Lowassa hana kosa kwenye Richmond?! Pamoja na jitihada zenu, ukweli utabaki palepale daima. Lowassa hachomoki kwenye kashfa ya Richmond kwani yeye akiwa kama Waziri Mkuu ndiye aliye push tenda wapewe Richmond...
  16. M

    The case against Andrew Chenge - HIS SECRET STASH OF CASH IN AN OFFSHORE BANK ACCOUNT

    Kumbe sheria ziko wazi kwamba kiongozi wa umma akiwa na utajiri wa mashaka (unexplained property) anatakiwa ashitakiwe mahakamani kwa rushwa. Chenge amekutwa za zaidi ya $1.5 million kwenye akaunti ya nje, TAKUKURU wanaona kigugumizi gani kumfikisha mahakamani? Ndiyo maana Lowassa anapata jeuri...
  17. M

    Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani?

    Lowassa ni sumu kubwa kwenye siasa ya Tanzania. Mtu yoyote anayetukuza maneno yake au kumuunga mkono fisadi huyu ni msaliti kwa taifa hili la Julius Nyerere aliyemgundua Lowassa tangu zamani kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi yetu. Lowassa na genge lake la mafisadi -- Rostam Aziz na Andrew Chenge...
  18. M

    Wakati Tanzania ipo gizani, Ethiopia kuzalisha 20,000MW!

    Tatizo la Kikwete na serikali yake ni kuwa they don't think big. Wao daima wanazungumzia miradi ya 45MW, 100MW au 300MW, wakati kwenye mradi mmoja tu Ethiopia wanazalisha 5,250 MW. Uko wapi mradi wa Stiegler's Gorge??!
  19. M

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Ukiangakia kweli unaona kuna trend/pattern hapa inajaribu kujengwa. Wakati habari kubwa tangu kikao cha NEC imekuwa ni Rostam Aziz na Chenge na Lowassa kutakiwa kufukuzwa CCM, MWANAHALISI kwa makusudi wameamua kupoteza mwelekeo na kula sahani moja na KIKWETE tu. Katika zaidi ya mwezi mmoja...
  20. M

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Ukiangakia kweli unaona kuna trend/pattern hapa inajaribu kujengwa. Wakati habari kubwa tangu kikao cha NEC imekuwa ni Rostam Aziz na Chenge na Lowassa kutakiwa kufukuzwa CCM, MWANAHALISI kwa makusudi wameamua kupoteza mwelekeo na kula sahani moja na KIKWETE tu. Katika zaidi ya mwezi mmoja...
Back
Top Bottom