Search results

  1. Van Pauser

    Nahitaji chumba cha kupanga Mkoani Shinyanga

    Habari muda huu ndugu zangu watanzania.... Kwa wale mliopo mkoani shinyanga nahitaji chumba cha kupanga. Conditions: Chumba na Sebule(Master) Budget:70,000/= Per month Ikiwa na fence itakuwa jambo la heri Kama upo serious ni PM
  2. Van Pauser

    Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga iangaliwe kwa jicho la Tatu

    Habari za muda huu ndugu watanzania wenzangu... Naamini tunaendelea vyema katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna haja ya serikali kuangalia kwa ukaribu shughuli za uratibu wa masuala ya malipo hasa upande wa network. Mfano halisi ni kuwa leo...
  3. Van Pauser

    Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni...
  4. Van Pauser

    Mimba iliyotunga nje ya mji wa mimba inaweza ku-survive?

    Habari za muda muda huu wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa mnajiandaa vema na maandalizi ya kuupokea mwaka. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya masuala ya uzazi. Kwa mwanamke ambaye mimba imetunga nje ya mji wa mimba ina uwezekano wa kuweza kusurvive...
  5. Van Pauser

    Kuna ukweli juu ya haya.

    Kuna mahali nimekutana na jumbe hizi..
  6. Van Pauser

    Bima za afya zinavyowatesa watumiaji. Serikali iangalue kwa jicho la pili

    Kwanza kabisa nishukuru mashirika yote yanayotoa bima za afya kwa watanzania hakika wanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma za kiafya zililizobora kabisa. Lakini suala linakuja katika hizi hospitali zetu.Unakuta unaenda hospitali upimwa vzr tuu mwisho wa siku...
  7. Van Pauser

    Msaada ni sababu zipi zinafanya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi?

    Habari za asubuhi wapendwa natumaini ni Jumatatu nyingine tena ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu. Je kwa wataalamu wa masuala ya uzazi ni zipi sababu zinazofanya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi..?? Je...
  8. Van Pauser

    Ushauri: Anataka nimuoe kwa lazima

    Habari za asubuhi wapendwa, Natumaini ni Jumatatu nyingine ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa basi na Mungu awe pamoja nanyi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba nina mpenzi wangu ambaye nipo nae katika mahusiano si kwa kipind kirefu sana lakini...
  9. Van Pauser

    Alliance in Motion

    Jiunge na Alliance in Motion ufurahie biashara ya mtandao(Network marketing) Ni kampuni iliyoanzishwa nchini Uphilipino mwaka 2006 ambayo inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za Afya ambazo zimetengenezwa kwa kutumia matunda na mboga za majani hivyo zimecontain virutubisho(Nutrients) zote...!!! Kwa...
  10. Van Pauser

    Natafuta mashine ya kuuza ya kufyatulia tofali za Block isiyo ya umeme

    Naomba mwenye mashine ya kuuza ya kufyatulia tofali za Block isiyo ya umeme..!! Awe maeneo ya ubungo anicheki kwenye 0718 922 168/ 0786 437 712
Back
Top Bottom