Search results

  1. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  2. Afisa Mteule Drj 2

    NItumie waya wa milimita ngapi kuunganisha mota yenye 22Kw kutoka kwenye MCB

    Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
  3. Afisa Mteule Drj 2

    Nitumie nini kuondoa kutu kwenye hivi vyuma

    Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
  4. Afisa Mteule Drj 2

    Hivi kumbe tembo ni msumbufu

    Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake atakipora,ataacha usumbufu wake atakapopenda yeye anaweza simamisha gari zaidi ya dakika 10...
  5. Afisa Mteule Drj 2

    Msaada:kuokoa data zangu kwenye hard drive

    Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye takriban 50 GB sasa kilichokuja kutokea hii partition ya 197 GB inasomwa kama unallocated space hivyo...
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Natafuta fundi wa printer Hp Laser jet pro MFP color 475dn

    Printer yenyewe ni hii hapa chini ni Hp Laserjet Pro 400 MFP colour 475dn pia na ku-refill uwino.Fundi huyo awe ni kutoka Mbeya
  7. Afisa Mteule Drj 2

    Wapi naweza kupata past papers za NECTA za SFNA(darasa la nne)

    Ninahitaji past papers za mitihani ya darasa la nne kwa ajili ya kijana wangu na wenzake
  8. Afisa Mteule Drj 2

    Msaada Nahitaji Display Original ya Samsung Galaxy A10

    Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya...
  9. Afisa Mteule Drj 2

    Ni kweli kubadilisha Pull ya mota kunaongeza au kupunguza speed yake

    Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo mashine ngingine ila nibadilisha pull itakuwa na speed ya kawaida.Swali ni je ni kweli kubadilisha...
  10. Afisa Mteule Drj 2

    Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  11. Afisa Mteule Drj 2

    Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
  12. Afisa Mteule Drj 2

    Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  13. Afisa Mteule Drj 2

    Connection ya TV na subwoofer haifanyi kazi

    Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi. Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye...
  14. Afisa Mteule Drj 2

    Magari yamegongana Iwambi Mbalizi Mbeya, moja imewaka moto

    Hiki kilima kikali au tuseme mteremko mkali wa Iwambi Mbalizi Mbeya umeshindikana kwa ajali,huwa muda mrefu haupiti bila ajali kutokea. Leo imetokea ajali tena na Lori lililobeba shaba bila shaka kutoka zambia,limeteketea kwa moto baada ya kugongana na gari lingine. Foleni iliyopo leo...
  15. Afisa Mteule Drj 2

    Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

    Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested nacho.Watu,wanyama,cha msingi isiwe tu picha ya mtu akiwa bafuni anaoga
  16. Afisa Mteule Drj 2

    Nahitaji kujua namna ya kufungua Sanduku la Posta

    Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi. Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa...
  17. Afisa Mteule Drj 2

    Nahitaji kujuzwa historia ya Tanganyika Packers

    Kuna siku nilikuwa napita maeneo fulani ambapo kuna magofu ya iliyokuwa inaitwa tanganyika packers. Magofu haya yamebaki tu kama historia ya uwepo wake. Baada ya kupita mahali hapo nikatamani kujua hasa historia ya hii kampuni, ilivyoanzishwa na ni mwaka gani, mwaka iliyokufa na sababu yake na...
  18. Afisa Mteule Drj 2

    Sikiliza mpaka mwisho huu ni Unabii au uganga wa kienyeji?

    sikiliza audio clips zote na kisha useme neno
  19. Afisa Mteule Drj 2

    Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

    Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi Fekon SanLG King Lion T better
  20. Afisa Mteule Drj 2

    Picha: Hiki ni kiumbe gani nilijua ni jani

    Kama kuna yeyote amewahi kukiona sehemu atujuze pengine mimi ndio wa kwanza duniani kukiona.Pia kama unajua kinaitwaje tujuze pia.
Back
Top Bottom