Search results

  1. Mosachaoghoko

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Tunabaguliwa natunabaguana jaribu kuangalia mabango ambayo yapo kwenye mpaka wa Mara/mwanza sasa Simiyu BANGO la Kutokea Mara kuingia Mwanza linasomeka hivi; KARIBU MKOA WA MWANZA na kisha angalia bango la kutokea mwanza kuingia Mara linasomeka hivi ; SASA UNAINGIA MKOA WA MARA as if kuna...
  2. Mosachaoghoko

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    Pole kwa wafiwa na waombolezaji wote
  3. Mosachaoghoko

    Hoja ya mifuko ya hifadhi ya jamii miaka hamsini na tano ndipo upate mafao ya uzeeni

    sababu ni kuwa makampuni ya MADINI ambayo yalikuwa yanalipa mrahaba wa 3% kwa serikali yetu/Taifa letu tayari huo mrahaba viongozi wetu walisha chukua mpaka ziada ambayo ilikuwa haijawa ya kulipwa sasa tayari viongozi hawa wa CCM na serikali yake wamechukua mikopo ya kuendeshea nchi kwa...
  4. Mosachaoghoko

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    Akihitimisha hoja yake ya Mawasiliano na Uchukuzi amesema hakuna kujisaidia njiani hata kama unaharisha humo humo kwenye basi au chombo cha usafiri unachotumia Basi wekeni sheria ya wenye mabasi au vyombo vya usafiri waweke vyoo kwa ajili ya abiria kujisaidia maana kuna umuhimu gani wa kupiga...
  5. Mosachaoghoko

    Wananchi tuanzishe na sisi mgomo

    kwakuwa sasa imekuwa ni system napendekeza na wananchi kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo mpaka pale huduma muhimu za kibinadamu zitakapoboreshwa na kuturithisha ambazo ni sekta ya afya kila sehemu na kuwepo na vifaa tiba,huduma za uhakika za kupata nishati ya umeme kwa ajili ya matumizi yetu...
  6. Mosachaoghoko

    Sheria ya Hifadhi ya Jamii ilipitishwa kwa mfumo huu kweli!

    wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!! kwenye mechi iliyotangazwa jana napendekeza pia mashindano ya nani...
  7. Mosachaoghoko

    2015: Kiongozi Tumtakaye - MTU WA WATU...

    By Imany John Dedication. A MAN OF THE PEOPLE~by CHINUA ACHEBE And An ENEMY OF THE PEOPLE-Sembene Ousmane
  8. Mosachaoghoko

    MIMI NAHITAJI MABADILIKO NDANI YA NCHI YANGU je WEWE?

    Unajua kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na mimi mwenyewe kwa kushirikiana na wewe je uko tayari kufanya mabadiliko kwa lengo la kuokoa Taifa na kizazi hiki na kijacho
  9. Mosachaoghoko

    Bunge legelege linachochea migogoro na migomo nchini; linasababisha nchi itisawalike!

    umesahau mhimili usio rasmi wa habari na pia ubabe na kiburi cha spika na wasaidizi wake wote hawaoni umuhimu wa kanuni za bunge na sheria zilizopo pamoja na katiba ya JMT
  10. Mosachaoghoko

    Simple And Clear: Mwingulu anafaa kupewa uwaziri gani japokuwa hawezi kuupata

    Kwa jinsi anavyo onekana kweli huyu jamaa atabaki kutamani uwaziri kama u****** wa Mtoto mdogo akigusa tu kabaka na adhabu yake ni maisha jela na kazi ngumu pamoja na kuchapwa viboko 12 siku ya kuingia na siku ya kutoka fimbo 12 ili akamuonyeshe mke na watoto wake
  11. Mosachaoghoko

    Kwa maendeleo haya, JK anastahili pongezi!

    japan nchi ndogo kwa eneo lakini ina zaidi ya vyuo vikuu mia saba linganisha na Tanzania ambayo hata haina vyuo vikuu 50
  12. Mosachaoghoko

    Kumbe Ben Mkapa naye anaweza kufungwa...?

    Hizi sheria ZInazotungwa kwa msaada mkubwa wa Chenge Fisadi kuangalia inampendelea mkuu hakuna wa kuwapeleka lupango
  13. Mosachaoghoko

    Shujaa anapotokea mwisho wa filamu

    Ben Mkabaji na genge lake CCM
  14. Mosachaoghoko

    Yaliyojiri kwenye mazishi ya Sumari

    hapa kufa kufaana mie ni kuwa kujipatia mke hapa
  15. Mosachaoghoko

    Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

    kwani Dr.Slaa alikwenda ifakara kwa ajili ya kusalimiana na kikwete ama kumsindikiza mpendwa wetu na mpamanaji na pia mtetezi wa wanamorogoro na watanzania wanaopigwa na kunyanyaswa na hiyo serikali ya ****** jamani eleweni mambo mengine kama magreat thinker sio kujadili jambo ambalo halina tija...
  16. Mosachaoghoko

    Hii ya Bunge letu na ajali za kushtukizi imekaaje..

    hapa kuna mkono wa mtu @ajali anayoipata kiongozi wa watu huwa anakufa peke yake kulikoni mbona watawala wa wananchi wao wasipatwe na hizi ajali mafisadi wanahusika hapa uchunguzi huru ufanywe .R.I.P Regia
  17. Mosachaoghoko

    Jaji Bomani: Wageni wanaimaliza nchi kupitia sekta ya madini

    mmmmmmmmmmh kaaazi kweli kweli
  18. Mosachaoghoko

    Katiba: Saa 72 za matumaini au huzuni kwa watanzania

    Wana wa nchi hii ya Tanganyika Utaifanyia nini nchi yako kwenye huu mchakato wa katiba mpya ili siku na wewe historia yako iandikwe kwenye kumbukumbu za Taifa la Tanzania
  19. Mosachaoghoko

    UDSM mpeni Lowassa PhD mapema kabla hajaapishwa

    Bora upige kelele hiyo PHD apewe mama ako kwa kukuzaa Tanzania ili uone mafisadi wanavyokufilisi wewe na kizazi chako chote
  20. Mosachaoghoko

    Mkutano wa wawekezaji - Rukwa

    MH,kikwete antoa hotuba yake kwenye mkutano wa kupata fursa za uwekezaji katika mikoa ya kigoma ,Rukwa na katavi lakini kwa kujua kuwa hii ni nafasi ya kuwa fanya watanzania wengi wa maeneo husika kujua nafasi yao kwenye uwekezaji unaotakiwa kufanyika kwenye maeneo yao je kutumia lugha ya...
Back
Top Bottom