Search results

  1. kalimanzilajuma

    Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila aliemshauri alimjengea chuki. Rafiki yangu huyu hakutosheka kumuweka mumewe ndani tu mara kadhaa...
  2. kalimanzilajuma

    Nataraji kuanza safari ya kwenda dar Kesho

    Tuombeane jamani, natamani nifike mpaka Zanzibar.kuna Shosti wangu ananipanga kwamba kwa sasa nikinunua mzigo kutoka Zanzibar kuja bara bandarini hakuna usumbufu tena Kama zamani. Mwenye uzoefu na hii safari amsaidie. Naomba kahela kangu nisije nikakalilia.
  3. kalimanzilajuma

    Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Naomba jeshi la polisi mumsaidie huyu baba. Kwa hatua aliyofikia asije akajidhuru polisi mkasema hamkupata taarifa. Nikiri wazi mke wake ni rafiki yangu na kuna mengi tumefanya naye hadi baadhi ya Mali ambazo amekuwa akinunua amekuwa akinishirikisha. Lakini katika manyanyaso anayompa mume wake...
  4. kalimanzilajuma

    Msaada tafadhali kuhusu huu ugonjwa.

    Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
  5. kalimanzilajuma

    Kagera na kigoma ni janga kubwa kuhusiana na vitambulisho vya Taifa

    Wageni wengi wamejipachika uraia.Uhamiaji inabidi waongeze umakini sana.
  6. kalimanzilajuma

    Lwakatare kaua kabisa intelijensia ya CHADEMA

    Lwakatare Mungu anakuona! Mimi siamini kama kweli bado Lwakatare ana faida yoyote ndani ya CHADEMA. Lwakatare niliwahi kufanya naye kazi CUF enzi hizo, ni mtu makini na anayejua mipango ya kiusalama. Hivi tatizo ni lipi lililompata mtu huyu? Yaani CHADEMA sasa hivi upande wa usalama ni hovyo...
  7. kalimanzilajuma

    Padri Karugendo: Ninauliza naomba nijibiwe?

    Jisomee mwenyewe,si kila kitu kuandikiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kalimanzilajuma

    RRB Mwanza yaagiza machinga waondolewe barabarani

    Hivi MKUU wa nchi sialisema hawa watu wasibuguziwe,baada ya kupata vitambulisho?au mimi ndie ambaye sikumuelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kalimanzilajuma

    Wafanyakazi chini ya mwavuli wa Tucta wanaandamana kesho 12/01/2019 Iringa kumpongeza baba mwenye nyumba kuhusu kikokotoo.

    Wafanyakazi wengi nchi hii akili zao wanazijua wenyewe. Kitendo cha yule mama kubaki pale ni kiashiria tosha kabisa kwamba mwenye nyumba alituchezea sinema. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kalimanzilajuma

    Waraka wa Lisu ni fimbo kubwa kwa watawala.

    Kwa maneno yaliyo ndani ya waraka wa lissu yanaonyesha wazi nani aliepanga shambulizi lake. Huu ni mtazamo wangu wangu tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kalimanzilajuma

    Jeshi la polisi Iringa,mmeshindwa kuwadhibiti hawa vijana wanaosajili laini bila vitambulisho?Wengine wanauza laini zimesajilwa.

    Maeneo hatari kwa mchezo huu ni miyomboni maeneo ya voda shop,posta ,Ipogoro,Kihesa na stand kuu Bila kulidhibiti hili kundi la hawa vijana jeshi letu litaendelea kusumbuka kila siku.
  12. kalimanzilajuma

    UMRI WA KUISHI UNAPUNGUA SHETANI NAE HABAKI NYUMA KWENYE MAFAO.

    Waliozoea vya kunyonga vya kuchinja .........
  13. kalimanzilajuma

    Hujuma zinazofanywa na vijana wanaosajili laini za simu zinachangia kuongeza matapeli mtandao. Jeshi la Polisi naomba hili mlifanyie kazi mapema

    Nimefanya utafiti wangu hawa vijana wanawaumiza sana watanzania,ukiwa huna kitambulisho unashangaa unapewa LAINI ambayo imeshasajiliwa.Hili jambo likanistuwa ikabidi niingie chimbo kufuatilia suala hili,kwakweli nilioyagundua hawa vijana hawafai ni washenzi.Yaani unapoenda kusajili laini ukiwa...
  14. kalimanzilajuma

    HUENDA HOFU YA MZEE MAKAMBA NI KIZUIZI CHA FEBRUARY KUTUMBULIWA

    Mtazamo tu,maana inaonekana MKUU wa NGOME anatamani kweli kumtumbua.
  15. kalimanzilajuma

    NDUGU YANGU FEBRUARY KAA CHONJO,KAZI IMEANZA

    Tumbua,tengua,pachika inayokuja wengi tutabaki midomo wazi.
  16. kalimanzilajuma

    Hii dhana ya kwamba wote tunaolalamika hali ngumu tulikuwa wapiga madili si kweli.!!!

    MH Rais tunakuomba kwa dhati uelewe washauri wako hawakuambii ukweli,maisha huku mtaani ni magumu.Hili ni kaburi unaichimbia CCM.
  17. kalimanzilajuma

    IRINGA: Bajaji zimezuiwa kupita barabara kuu na zikionekana baadhi ya sehemu zinakamatwa

    Naomba nianze kwa maskitiko nikiwa kama mwananchi au abiria,kinachoendelea IRINGA kinasikitisha.Bajaji zimezuiwa kupita barabara kuu,na zikionekana baadhi ya sehem zinakamatwa.Madereva wa haisi nao hawajabaki nyuma,wakiwaona barabara kuu wanawagonga kwa hila sasa hivi kweli hii ndio Iringa mpya...
  18. kalimanzilajuma

    RC amtumbua Sheha Zanzibar

    Naona kale katabia kameanza kuambukiza.Znz wameona wasibaki nyuma.
Back
Top Bottom