Sasa tunafanya nini kujikwamua maana hata hiki tunachopewa hakitutimizii baadhi ya mahitaji yetu., mtazamo wangu ni kujiongeza kama alivyosema mtoa mada
Nimeipitia yote Na kujifunza kitu kikubwa Na kimenibadili mtazamo wangu kwa namna moja ama nyingine., Mungu azidikukutia nguvu katika kuendelea kutujuza mwalimu.,
Hii elimu dunia tunaipatia huku wengine.
Shukrani nyingi kwako Mshana Jr. na wengine wote mliochangia
[emoji1545]
Ila kuna wengine wanajihami., wanayafukua wenyewe. Hapa unakuta ndo mmeanza mahusiano yeye anafunguka Dah mpaka unaanza mwogopa tena., kuna haja ya kufikiri Mara 2 kabla ya kucheki na yalilopita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.