Search results

  1. M

    Natamani kusikia hili kutoka kwa Bashe

    Mimi huamini kwamba Mungu huwa na wale walio katika wema. Katika hili Membe amekuwa na Mungu kwa vile ni dhahiri kwamba hakuhusika wala hakuwahi kuwa na dhamira ya kudhuru yeyote,akiwemo Kibanda ambaye kamwe hajapata kuwa adui yake. Sasa watafute lingine lakini likiwa la staili hii hii basi...
  2. M

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Membe ananikumbusha wimbo wa kisiki cha mpingo wa Mchinga Sound (RIP). Bashe anakuja na panga wakati wenye shoka wameshindwa. Wakati kwa Bashe na waliomtuma siasa ni mchezo wa kubahatisha, Membe amedhihirisha kwamba siasa ni sayansi inayojengwa kwa mikakati na taaluma siyo kukurupuka na...
  3. M

    Mnyika Bunge linakwisha, njoo uone ya jimboni

    Brilliant! Lakini kama mbunge angehamasisha hili au angewaambia wapiga kura wachangie mafuta yeye afanye mpango wa greda.
  4. M

    Mnyika Bunge linakwisha, njoo uone ya jimboni

    Mwenzenu akimaliza bunge anakwenda kuungana na Kamanda Lema kufanya shopping huko nje akidai anafungua matawi wakati hata katavi hajawahi kutembelea. Hivi unapoteza muda nje kwa diaspora ipi? Kwanza wengi ni wahamiaji haramu na ambao hawana voting power, achilia mbali kipato cha kuchangia chama...
  5. M

    Hili la Mnyika litajibiwaje?

    Hivi zile sheria za China huku haziwezi kuletwa? Au tunaogopa kunyimwa misaada? Inakera sana.
  6. M

    Hivi Mbowe hili unalionaje?

    Hata kufungia samaki ni kulipa hadhi. Halifai hata kusokotea tumbaku.
  7. M

    Kamati ya Lowassa Kukagua Balozi

    Hii mission ni chimba chimba. Nasikia hata wajumbe wenyewe wametoka hapa wakiwa hawaelewani maana hakukuwa na muafaka kuhusiana na madhumuni ya safari. Nia hapa ni kuendeleza ufisadi ule ule wa ku-exhaust mafungu kabla muda haujayoyoma na mwaka mpya wa fedha kuanza. Hivi moral authority ya...
  8. M

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Mnyika anchefua sana. Siasa zake ni za mob justice na kuandamana kudai kupewa huduma ni populist approach ambayo ina lengo la kuficha udhaifu alionao katika kutekeleza ahadi za wapiga kura wake.
  9. M

    Hivi Benno Malema anajisikiaje?

    Typical of Lowassa hire guns, the boy has no brain at all. His juvenile and reckless moves have set his party into a collision course with the oldest party on the continent. I hope the powers that be will teach him a lesson by striping him of all positions he holds in the party!
  10. M

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Kwa kweli tunashangazwa na hiyo timing. Mtoa mada amesubiri mpaka limejitokeza hilo ndiyo ajifanye kutoboa siri ya ufisadi huu hewa. Nadhani ni vizuri pia atueleze jinsi mama huyu alivyomkatalia ngono fisadi mmoja aliyechochea mgomo huu na sasa anatumia fursa hii kumlipizia kisasi.
  11. M

    Mmoja wa Wagombea Urais 2015 ahusishwa na Mgomo wa Madaktari?

    Habari hizi siyo ngeni. Hao jamaa walipokuwa wanakutana posho za vikao vyao na gharama nyingine alikuwa analipa Edward Lowassa na mashuhuda na wapambe wake wanajua hilo.
  12. M

    Membe awavaa wanasiasa wanaojisafisha masikitini, mkanisani

    Jamaa anadhani kwamba kwa kufanya hivyo anajitakasa, kumbe anachokifanya ni money laundering, tena kwa kutumia nyumba za ibada. Bila kutubu Mungu hawezi kumsamehe. Maskini urais unamuendesha mbio, anazunguka kama pia. Tayari amesha-book hafla hadi za mwakani aalikwe.
  13. M

    Membe kuwania urais 2015...

    Mimi nilipiga kura yangu Mahiwa. Katika historia yangu ya kupiga kura toka mwaka 1985 na kuchagua wabunge, jimbo la Mtama halijawahi kupata mbunge mwenye rekodi ya utendaji kama Membe. Tumeshuhudia mradi mkubwa wa Maji wa Chiuwe, wenye thamani ya shilingi milioni 800, mradi wa hospitali ya Rondo...
  14. M

    Lowassa njoo Tunduru

    Jamani mpumzisheni huyu mzee. Atajibu mangapi na atahudhuria harambee ngapi. Kwa vile bado kuna muda mpaka 2015, nyie wa Tunduru subirini 2014.
  15. M

    Hongera Jerry Muro. Sasa tuambie hili!

    Tuansubiri kwa hamu kudadavuliwa habari hizi. kama ni kweli basi tasnia hii sasa haina watu.
  16. M

    Mwenyekiti hii imekaaje?

    Jamaa sasa hivi kabadilisha mbinu ya kujisogeza kwa watanzania na huu ni ushauri wa Nabii wake. Sasa ni kuendesha harambee kwa kwenda mbele! Nasikia amealikwa kuchangia harambee ya kanisa la RC.
  17. M

    Kumbe fedha za ushoga zimeshapenyezwa nchini?

    Kwa kweli hili ni la hatari kuliko hata lile la kuhusishwa na Alshabaab kwa sababu huyu na hao waume zake wanaua kizazi chetu. Bora akae huko huko aliko.
  18. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Walibya wameingizwa mkenge na kuitupa almasi baada ya kupewa chupa. Dunia yote watu wanahangaika na kupigania hata nusu tu ya walichokuwa wanakipata wao. Wakadanganywa kwamba hicho walichonacho ni upuuzi tu mbele ya usanii unaoitwa demokrasia, as if ndiyo inayojaza tumbo au kupeleka watoto shule.
  19. M

    Tusubiri singo ya muasi Kubenea kesho

    Nashukuru kwa kuokoa jero langu kukuchangia wewe, huku mifuko yako ikicheua fedha haramu za mafisadi. Aibu tupu!
Back
Top Bottom