Search results

  1. L

    Msema kweli ni Mpenzi wa mungu.

    masikini tulipiga makofi na kushangiria baada ya huu msemo tukasahau kwamba tembo hakondi kama sungura
  2. L

    Nahitaji dalali Mwanza

    kama kuna dalali wa vyumba toka mwanza hasa maeneo ya nyakato meko neshino tuonane
  3. L

    Wanawake msifanye mapenzi yote, kumbukeni kuwaachia na waume zenu watarajiwa

    🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇
  4. L

    Baada ya Mgegedo Nahisi Beki 3 Katoboa siri

    Huyu anaweza kutuvunjia utaratibu tuliojiwekea wanaume amebaha
  5. L

    Ijue sababu kwanini wachawi wakiingia nyumbani kwa mtu kuwanga huwa hawaibi pesa

    Na ukitaka kuilinda nyota yako unatakiwa ufanyenini
  6. L

    Ninaomba ushauri wako, nataka kuanzisha tuition

    Kumbuka tutaleta watoto jinsia zote na rika tofauti mahusiano ya kingono na wanafunzi wako ni kosa kubwa
  7. L

    Wanaume huwa sio wahanga wa majanga?

    M kuu hiyo ya usawa ni mipango ya wana dam kumbuka agizo la mungu linasemaje kuhusu hizi jinsia mbili kama ukifatilia utawasikia wakisema kwamba tukiwezeshwa tunaweza manayake ni kwamba kama mwanaume hayuko nyuma yake hawezi
  8. L

    Wanaume huwa sio wahanga wa majanga?

    Wanaume mateso ni sehem ya maisha yao ndomana ukikumbwa na shida utasikia we ni mwana ume jikaze
  9. L

    Amri ya kukata miti ya upanga uzazi

    Wapi ndugu nyangoto kiwanja matongo kerende kwinogo mrwambe
  10. L

    MSAADA: Jinsi ya kumwondoa M/Kiti wa kijiji madarakani

    ongeen na chama chake kimfute uwana chama
  11. L

    Huyu mtu anayejiita James Delicious hastahili kuwepo uraiani. Jeshi la Polisi mkamateni

    Ukiona swara anatamba porini ujue boyfriend wake ni simba
  12. L

    Elimu ya Bure ya TEHAMA

    Unatoaje elimu kwa Kiswahili wakati hata hilo jina limeandikwa kwa lugha ya kigeni au Linux ni Kiswahili ndugu
  13. L

    Kinachoboa Mwanza

    Ndo maana kitandani wako vizuri we endelea kutafuta viungo vp chipsi hukuiona
  14. L

    Mama afanyiwa utapeli kwa njia ya simu, jifunze yasikukute na wewe

    Kwa sasa huu ndo utafutaji uliobaki maana kodi zenu zimetufanya tukimbie biashara
Back
Top Bottom