Search results

  1. floow

    Nahitaji Gari Toyota IST

    Habari wakuu nisiwachoshe sana, Nahitaji gari IST nzuri.. offa yangu ni 7Milion nitumie picha au nipigie 0787507217
  2. floow

    Jela miaka 60 kwa kuwavutisha bangi wanafunzi na kuwalawiti

    Mahakama ya Wilaya Musoma imemuhukumu kwenda jela miaka 60 Nyamasheki Malima mkazi wa Lake side Musoma, kwa kosa la kuwarubuni kwa kuwanunulia maandazi na kuwalazimisha kuvuta bangi na kisha kuwalawiti Wanafunzi wenye miaka 11 na 13. _ Kabla ya hukumu, Mtuhumiwa alijtetea kuwa yeye hana nguvu za...
  3. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Picha ya hapo juu ulikua ni Uzi wangu ambao niliuleta hapa hapa jamii forum mwaka 2017 mwezi wa 11 ,,kipindi ambacho nilikua nimechoka kufanya kazi niliyokuwa naifanya na nikawa naskia skia eti kupitia YOUTUBE unaweza kujiingizia pesa Kwa bahati mbaya sikuweza kupata jibu lililo jitosheleza...
  4. floow

    Zijue condom za kuvaa kwenye ulimi wakati wa Romance na mwenzi wako

    Alichovaa huyo jamaa Kwenye ulimi kinaitwa Tung Dom sio Condom yenyewe ni mahususi kwa wapenzi kuvaa kipindi wakiwa wanabusiana mdomoni (kiss) ili kuzuia magonjwa. . . Je kikifika Tz utakinunua?
  5. floow

    Lindi: Aliyemuua mke wake bila kukusudia ahukumiwa kusafisha hospitali

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Luyaya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, Atanasi Kijombo, adhabu ya kufanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka Hospitali ya Wilaya ya Kilwa kwa miezi 12, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mkewe Hadija Mambo bila kukusudia...
  6. floow

    Kunanini mtandao Wa Tigo leo

    Siwezi kupiga Sm wala kupokea Sms na hata Tigo Pesa siwezi kutumia ,,nimejalibu kuangalia usajili Wangu hapa,,naambiwa laini Yangu haina usajili Naombeni mnifahamisha kama na huko kwenu mambo ndio yako hivi Maana nimeshakua na wasi wasi hapa maana ndio laini yangu ya kuingizia hela
  7. floow

    Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

    Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha. Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili...
  8. floow

    Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

    Fareed Kubanda aka Fid Q ameikacha rasmi kambi ya makapera aliyodumu kwa muda mrefu, baada ya kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka 2019 na mchumba wake aliyemtambulisha mwaka jana. Rapa huyo kutoka Mwanza hakutoa taarifa za awali kabla ya kufunga ndoa hivyo kwa wengi limekuwa tukio la kushtukiza...
  9. floow

    BSS ya mwaka huu washiliki hawako silias

    Katika pitapita yangu mtandaoni nimegundua washiliki wengi wa bss msimh huu hawako siliasi,na wenda wapo kwaajili ya kuchekesha Swali la mara kwa mara walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na media ni kiasi gani cha fedha walichotumia katika mavazi waliyovaa,,jibulake limekua milioni...
  10. floow

    Mjue binadamu aliyeishi miaka 70 bila kula wala kunywa

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana hii ya binadamu alie ishi miaka 70 bila kula wala kunywa.. BRAHARAD JANI raia wa INDIA yeye aliishi miaka 70 bila kula wala kunywa chochote Aliamua kuishi porini mda wote na huwa anarudi mara moja tuu kwa mwaka kwaajili ya kusherekea sikukuu ya...
  11. floow

    Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

    Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu.. Huwa nashangaa sana baadhi ya...
  12. floow

    Zipi sababu za cctv camera kushindwa kuonesha tukio la kutekwa mo

    Mahala alipo tekewa Mo ni sehem ya kifahari yenye ulinzi mkubwa ,zikiwemo kamera zinazo saidia ulinzi.... Kwanini baada ya kutekwa mo camela zimeanza kuonyesha ukungu... Sababu za kuonyesha ukungu ni zipi kitaalam?
  13. floow

    Gari aina ya spacial inahitajika

    Kwa anae uza gar aina ya spacial new model... 0719921552 Anipigie ..gar iwe katika hali nzur namba B,C na D Pekee A haitakiwi.. Iwe katika hali nzur Bajet ya muhusika ni 4:5 milion NIMEPANDISHA DAU JAMANI SASA NI 5 million spacial new model
  14. floow

    Kwanini Mwanamke anashindwa kujinunulia pedi?

    Hili swali hua najiuliza kila mwezi pale ninapoombwa pesa ya pedi...najiuliza Kwanini aniombe pesa ya pedi? Hajui kua ni wajibu wake kila mwezi atumie pedi. hivyo ajiwekee akiba kwaajili ya pedi? Unakuta Mwanamke ana miaka 22 kwa hesabu ya haraka haraka ameanza kutumia pedi akiwa na miaka...
  15. floow

    Nauza kibanda cha tigo Pesa..pamoja na laini za uwakala

    Location :Ubungo plaza Bei ya banda ni 500000 Ukiitaji ufanyie kazi hapo hapo lilipo nitakupa miez 4 free Bei ya laini Tigo __150000 Voda__150000 Air tel__100000 Sio lazima uchukue vyote unaweza kuchukua ki 1 katika hivyo
  16. floow

    Biashara ya Tigopesa inanifilisi

    Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga...
  17. floow

    Utajinasua vipi ukikutana na mwanamke huyu?

    Utampiga ngumi? Utamsukuma? Au utavumilia mapenz mubashara
  18. floow

    Chumaulete kwenye Tigopesa; namshindaje huyu adui?

    Habar zenu wakuu Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana . . Nimefanikiwa kua na kibanda changu cha tigopes maeneo flani hapa dar... Kabla sijamuweka mtu Wa kufanya huduma kwenye ofisi iyo nimeamua nikae mwenyewe angalau wiki 2 ili niusome upepo na changamoto za pale... Ninacho...
Back
Top Bottom