Search results

  1. floow

    Nahitaji Gari Toyota IST

    Habari wakuu nisiwachoshe sana, Nahitaji gari IST nzuri.. offa yangu ni 7Milion nitumie picha au nipigie 0787507217
  2. floow

    Baba yangu ni Mfano wa kuigwa ,Aliniamini nikiwa mdogo sana

    Mkuu bila shaka wewe ni mtu ulie mezeshwa sumu na wajomba na bibi zako kuwa ili ufanikiwe ni lazima usome sana,,wewe endelea kubaki na mitazamo yako...lakini nje ya elimu pia kuna maisha mazuri tuu kwa mtu ambaye hana uwezo wa darasani ni bora aendelee na maisha nje ya elimu......
  3. floow

    Baba yangu ni Mfano wa kuigwa ,Aliniamini nikiwa mdogo sana

    Boss hayo kweli ni Mapito niliyo pitia Hakuna sababu ya kufuta nyuzi akati ni ukweli nilipitia huko Pia sikulazimishi kuniamini,una Uhuru wa kubisha na kuendelea kuwa na mitazamo yako
  4. floow

    Baba yangu ni Mfano wa kuigwa ,Aliniamini nikiwa mdogo sana

    Siwezi kuandika mambo yote niliyo yafanya kwasababu sio lengo langu hilo...lengo ni kwamba waacheni watoto wenu watumie mitazamo yao
  5. floow

    Baba yangu ni Mfano wa kuigwa ,Aliniamini nikiwa mdogo sana

    Niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 17 mkuu Shule ndio nilimaliza nikiwa na miaka 16
  6. floow

    Ukitapeliwa usifanye haya. Ni janga!

    Nilitapeliwa 200k, nilipo gundua nimetapeliwa nilipatwa na hasira Kali halafu baadae nikaanza kumuonea wivu mtu alie nitapeli ( yaani kaingiza 200k muda mfupi tuu) nikaamua na mimi nitoe bank 100k na nikaitumia kwa kula bata ili ieleweke moja kuwa nimepoteza 300k....
  7. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Kuiba vidio ya MTU ni kosa kisheria kwenye YOUTUBE,,,,Mara chache unaweza kuweka vidio ya mtu kama utakuwa umeruhusiwa na mmiliki wa izo vidio..... Lakini kama utakuwa haujaruhusiwa kuchukua vidio hizo na endapo mmiliki halali aka Ku report basi vidio hizo zitaondolewa kwenye Channel yako na pia...
  8. floow

    Jela miaka 60 kwa kuwavutisha bangi wanafunzi na kuwalawiti

    Mahakama ya Wilaya Musoma imemuhukumu kwenda jela miaka 60 Nyamasheki Malima mkazi wa Lake side Musoma, kwa kosa la kuwarubuni kwa kuwanunulia maandazi na kuwalazimisha kuvuta bangi na kisha kuwalawiti Wanafunzi wenye miaka 11 na 13. _ Kabla ya hukumu, Mtuhumiwa alijtetea kuwa yeye hana nguvu za...
  9. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Usiwaogope TCRA Anza kupiga kazi ,,ukija kupata pesa utajisajili...lakini kama pesa unayo unaweza kujisajili mapema ili kuepuka kukamatwa
  10. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Jitaidi kushea sana kazi zako Kwenye magroup ya watsup,kwenye fb na kwengineko Mimi mwanzoni nilikua nashea humu humu jamii forum ila jamaa hawataki wanakupiga ban Pia jitaidi kuweka Title zitakazo wavutia watu ili watazame vidio zako...
  11. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Hapo inategemeana na urefu wa vidio, kwa vidio fupi (chini ya dk10) Yenye views 1m unaweza kuingiza kuanzia $ 450 mpaka $ 600 Kwa vidio ndefu yenye zaidi ya dk10 utaingiza pesa zaidi ,haiwezi kulingana na vidio ya dk chache
  12. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Mala ya kwanza nilitoa dollar 300 Kuhusu TCRA Tsh 1M Kwa miaka mi tatu
  13. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Ilinichukua miezi 7 kuanza kulipwa na youtube Kuhusu TCRA kwa sasa nimesha jisajili na natambulika ,,lakini nilikaa mda mrefu bila kujisajili TCRA
  14. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Fikisha subscriber 1000 Pamoja na masaa 4000 ya watazamaji Hapo YOUTUBE wataikagua youtube channel yako ,ikiwa safi basi watakupitishia matangazo rasmi Zingatia Youtube hawataki vidio zenye maudhui ya ngono,hawataki vidio za vitisho vya ukweli pia wanataka vidio zako zizingatie haki za watoto...
  15. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Bado sana tena sana Fikisha subscriber 1000 pamoja na masaa 4000 ...hapo ndio utakuwa kuwa na matumaini ya kuanza kuingiza pesa
  16. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Inatengemeana na urefu wa vidio Kama vidio ina chini ya dk 10 pesa haiwezi kulingana na vidio yenye urefu kuanzia dk 10
  17. floow

    Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Kituochako cha youtube kikiwa tayari kimeruhusiwa kupitisha Ads /kimekuwa monetized / kimeruhusiwa kupitisha matangazo Basi vidio zako zote utakazokuwa unazipakia YOUTUBE zitakuwa zinapitishiwa matangazo ,hapo watu wakiangalia wengi ndio utapata pesa nyingi na wakiangalia watu wachache basi...
Back
Top Bottom