Search results

  1. James_patrick_

    Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  2. James_patrick_

    Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  3. James_patrick_

    Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  4. James_patrick_

    Mnaodanganya bei za mizigo kwenye basi chukueni tahadhari

    Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi halafu mnadanganya bei mzigo wa milioni moja unasema laki moja. Sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha ajali..sijui inakuwaje sasa ukienda kudai fidia ya mzigo wako na ulisema mzigo ni wa hela ndogo...
  5. James_patrick_

    Msaada; Mtu akisema nina mwanasheria wangu anakuwa anamaanisha nini?

    Hivi mtu akisema nina mwanasheria wangu ina maana anakuwa amemuajiri na anamlipa hata kama hajapata majanga au mpaka apate tatizo ndio akitetewa mahamani baada ya hapo ndio anamlipa?
  6. James_patrick_

    Watu kwenda kwa Waganga wanapoibiwa badala ya kwenda polisi imeshakuwa kawaida Uswahilini

    Habari ndugu zangu Mimi naishi uswahilini huku sasa kitu nilichokigundua ni kwamba siku hizi kumeongezeka watu kwenda kwa waganga sana pindi wanapoibiwa kuliko kwenda police. Utasikia tu mimi lazima nimuonyeshe aliyeniibia yaani nitamkomesha na asilimia kubwa uwa wanaenda kweli kwa waganga...
  7. James_patrick_

    Ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki?

    Habari ndugu zangu, Naomba kuuliza,hivi ni kweli mtu akichezea kichapo cha kutosha ukimpa maji anaweza kufariki? Na je, kama ni kweli ni kitu gan upelekea hali hiyo.
  8. James_patrick_

    Ajira za wahudumu wa treni ya SGR zilitangazwa wapi?

    Ajira za kuwapata hawa wafanyakazi wa sgr zilitangazwa wapi jaman?tuna dada zetu mavyeti yanaoza ndani..utani huo mnaleta.
  9. James_patrick_

    Dereva natafuta kazi.

    Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona. Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
  10. James_patrick_

    Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

    Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
  11. James_patrick_

    Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
Back
Top Bottom