Search results

  1. V

    Azam Tv vifurushi vyenu havieleweki

    Katika matangazo yenu ya mabadiliko ya bei za vifurushi mmeonesha kifurushi cha Azam plus ni Tsh 23000. Ndani ya kifurushi hicho inaonekana clouds plus ni kati ya channel zilizomo. Lakini unapolipia hiyo channel haionekani, huu ni ulaghai. Simu zenu huduma kwa wateja haziiti.
  2. V

    Naomba ufafanuzi uhalali wa gharama za kupima ardhi, kulipia nguzo Tanesco

    Naomba ufafanuzi juu ya uhalali wa gharama za kupima ardhi. Kuna uhalali gani wa kulipa hizi gharama wakati sisi ni wapangaji na tunapaswa kulipa kodi ya Ardhi kila mwaka?. Inashangaza watumishi wanalipwa na serikali, vifaa vya serikali. Kama kweli kuna ulazima wa kulipa kwanini yasihesabike...
  3. V

    Barabara ya Kibada - Vijibweni serikali itupie macho

    Sisi wakazi kigambo, kibada, toangoma mikwambe Na maeneo mbalimbali tumechoshwa Na hali mbaya ya Barbara hii muhimu ya kilomita 3.9. Barbara hii ni muhimu kwani ni kiunganishi kati ya hospital ya kisiwani na wakazi wa kibada Na maeneo mengine tajwa kuelekea daraja la Nyerere. Pia kiuchumi...
  4. V

    Kero daraja la Nyerere-Kigamboni Dar es Salaam

    Sisi watumiaji ambao ndio wateja wa daraja la Nyerere Kigamboni tunakerwa na hii tabia ya watendaji hapa darajani. Nyakati ambazo ni busy asubuhi na jioni, mageti matatu au manne kati ya saba yaliyopo ndio hufanya kazi, jambo linalosababisha foleni na hivyo kudhoofisha lengo la serikali la...
  5. V

    wimbo samira wa Makondeko group music

    wakuu mwenye huo wimbo plz autupie
  6. V

    Nimeamua kusaidia wenye matatizo ya uzazi

    Baada ya kurudi nyumbani likizo wazee wangu wamenisihi niwasaidie kazi ya kuwasaidia wenye matatizo ya uzazi kwa njia za sili. Nimetafakari sana sasa nimeamua nikubaliane nao hivyo natoa ofa kwa wahitaji wwawili wa kwanza itakuwa bure. Anaehitaji anipm.
  7. V

    MKURABITA na Siasa zetu Tanzania

    Toka awamu ya tatu ianze katika ngazi ya utekelezaji wa mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge (MKURABITA) mwaka 2008 mpaka sasa 2012 kuna dalili zozote zinazoashiria mafanikio ya sera ya kumilikisha uchumi kwa watanzania wanyonge kupitia mpango huu?. Kama zipo ni zipi kama...
  8. V

    Mwendelelezo wa kupotea watu Arumeru

    Mtu mwingine ametoweka huko Arumeru mashariki ambae ni kada wa chadema, siku ya sita leo hajulikani alipo. Source 92.9 magic Tar 30.03.2012, fm saa 07: 45 Wtangazaji Meshack Nzoa na Orest Kawau
  9. V

    Hii imekaaje?

    Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea hivyo kama kuna anejua sababu plz. Nikiri tu kuwa nimehusika katika kuzinyofoa but moja...
  10. V

    Kwa nini transcripts hazitambuliki ofisi za serikali

    Inakuwaje kwenye ofisi za serikali academic transcripts hazikubaliki katika mpaka upate cheti original cha chuo wakati huohuo vyuo vyao vyeti huchelewa mno inaweza fika hadi miaka miwili na zaidi mfano T.I.A hawaoni wanaminya haki za watu! Mnasemaje waungwana?
Back
Top Bottom