Kuna mtu alinipanga tufanye biashara pamoja mimi nitoe mtaji yeye atasimamia. Alinipa business idea very impressive nikazama benki nikampa Milioni 3 akachukue mzigo. Tangu 2012 hadi leo sijamuona. Kuwa makini na ushauri
Kama zina ufanisi kwanini waliochanja na wailsiochanja wote wanaumwa?. Weledi unapotea zimebaki siasa na kulinda maslahi ya mfadhili mkuu wa Shirika kwa gharama ya afya zetu
Hamisa Mobeto, King Majuto, Senga, Bambo, Ebitoke, CEO Konde gang, Mzee Kipara, Bi Kidude, Mzee Yusuphu, Dr Kumbukwa, Baba Levo, H. baba, Mwijaku, Menina, Sepenga, Kiba na CEO Wasafi
Sentensi nyingi bila vielelezo natakwimu ni sifa za Majungu au kushindwa kujenga hoja. Je watumishi wangapi wenye sifa wameachwa? Wangapi wasio na sifa wamepandishwa? Wangapi wamepandishwa kwa Vimemo? Je Vimemo vimetoka kwa akina nani? Hatua gani ulichukua?. Ni vitu vya msingi vya kuboresha hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.