Search results

  1. M

    Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

    Ni kweli kabisa ndugu, yaani ushindi wa simba na yanga naufananisha kabisa na ushindi wa CCM, mwingi unapatikana kwa hila kuliko uwezo. Siku timu za Simba na Yanga zinaingia kwenye ushindani wa kweli ndio soka letu litaboreka.
  2. M

    Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

    Timu ipate ushindi wa hujuma kisha utashangilia? Ila kwakuwa ww ni mwanaccm, sishangai kutaka ushindi wa hujuma maana hiyo iko kwenye damu. Karia hawezi kukemewa na wanasiasa hasa wa CCM, kwani ubaguzi wake ndio ubaguzi wafanyao ccm.
  3. M

    Dr Chuwa: Ni kosa la jinai Karani wa Sensa kujirekodi na kupiga picha akiwa anahesabu Watu (kazini)

    Yaani sasa hivi uongo kwetu imekuwa kama ni desturi, utashangaa wananchi wanaongea uongo,na serikali itafikia hitimisho la uongo!
  4. M

    Halima Mdee na wenzake wapinga kuhojiwa na Wakili Kibatala, wadai wao ndio Wana haki ya kuihoji CHADEMA

    Sioni jipya lolote kwenye hiyo kesi maana hatuna mahakama huru.
  5. M

    Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

    Ww si ndio uliingia na hizo kura, sasa unategemea kura zingekuwa chini ya hizo ulizoingia nazo?
  6. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Nipe tofauti ya Mkoloni mweupe na huyu mkoloni mweusi, au kwakuwa ww uko kwenye mlo? Kwa taarifa yako hata wakati wa mkoloni mweupe kuna watu walikuwa kwenye mlo kama ww, na waliona mkoloni yuko sahihi.
  7. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Hata sasa tuko chini ya wakoloni weusi, ni bora mkoloni mweupe maana alitoa elimu Bora.
  8. M

    Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    Baba ni kwa mshahara wake, rais ni wajibu wa kikatiba na sio hisani.
  9. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Narudia tena, miradi ya wakati wa wakoloni wananchi walikuwa hawashiriki?
  10. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Unadhani hayo mauaji na kuacha wetu na vilema vya maisha ni jambo la siri? Umeona wakifidia mauji na ukatali wa kwenye uchaguzi ule?
  11. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Sina shaka na wizi wa kura uliofanyika. Kwa taarifa yako hata wakoloni walijenga reli na tuliona ni zetu. Wewe na chawa wenzako ndio unaona mnashirikishwa, na sio kila mtu.
  12. M

    Mbunge Msukuma: Tozo zilianzishwa na Hayati Maguful hii Awamu ya Rais Samia imeboresha tu!

    Ni kweli, hata TLP ya Mrema inapata kura, lakini wanapataje hizi kura hapo ndio kazi ilipo.
  13. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Usiwe mjinga kwa kukariri mistari ya vitabu vya dini na kuja kupotosha hapa, hakuna Mungu anasimamia wizi wa kura na mauaji.
  14. M

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Sifa halisia za wezi wa kura, Maalim Seif ndio nani? Ulitegemea aseme maneno tofauti na hayo kwenye mlo?
  15. M

    Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

    Kumbe ulikuwa unabishana, basi hapo ndio tatizo lilipo. Nilidhani tunaeleweshana kumbe uko majibu yako mfukoni?!
  16. M

    Dr Chuwa: Ni kosa la jinai Karani wa Sensa kujirekodi na kupiga picha akiwa anahesabu Watu (kazini)

    😂😂😂 Wamefikia 60% wakati hawajui watu ni wangapi!
  17. M

    AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    Slave mentality kwani wakenya ni wazungu? Huo ndio ukweli kuwa wako vizuri Kuliko sisi tunaoburuzwa na chama kichovu. Hivyo jenga tabia ya kuvumilia ukweli.
Back
Top Bottom