Search results

  1. K

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Fugerson steeet uko Ohio marekani... alipigwa risasi tano kifuani kijana mmoja mweusi anayefahamika kwa jina la michael ambaye hakuwa na silaha yoyote kisa amepita kwenye mazingira asiyo ruhusiwa ... nenda www fugerson shooting .com utapata ukweli huu
  2. K

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Japo unawachukia lakini najua kinasikubiliisha kwenda kuomba msaada na wakakusaidia kwa namna moja au nyingine...
  3. K

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Usivunje sheria za nchi zilizo wekwa.. utakuwa salama.. afadhali huku unakula virungu marekani kuna mitaa mtu mweusi ukipita ni risasi
  4. K

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Nitajie askari unao wajua wewe duniani hawapigagi raia ... tena kwa marekani usitaje kabisa maana watu weusi wanauwawa kila kukicha
  5. K

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    YOU REALLY KNOW WHAT YOUR DOIN AND WHY YOU DOIN THAT DUDE...BUT AM I GAT TO GV YA' A PISI OF WORD.... SABOTAGE NEVER PAY .. HERE AND HERE AFTER...
  6. K

    Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    UKO SAWA SAWA MLAU.. UNAJUA KUNAWATU WENYEWE WAMEKAA KULALAMIKA LALAMIKA TUU....
  7. K

    Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    UMEKAA KISIASA LIGERA ...WAZIRI JUKUMU LAKE NI KUMUWAKILISHA RAIS ... BAADA YA TUKIO LILE KUTOKE MTU WAKANZA KISERIKALI KUTOA SALAM ZA RAMBI RAMBI ALIKUWA RAIS BADO RAIS ANAPLAY ROLE KUBWA KWENYE FAMILIA HIZO ...
  8. K

    Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    THUS IT..... UNAJUA KUNAWABUNGE WENGINE WENYEWE WAKO KIMASLAHI ZAIDI.LAKINI WAKATI WA KAMPENI HUJIFANYA WAKO TAYARI HATA KUFA KWA AJILI YA WATU WAKE KUMBE HUWA NI ZUGA ZUGA TUU...
  9. K

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    NCHI HII NIKUBWA POLISI WANAJUA WANACHO KIFANYA UHALIFU ULIPANGWA KWANZA KABLA YA KUAFANYWA YAWEZEKANA NA SISI HUMU HUMU KWENYE MITANDAO SOO NAFIKIRI BROO POLISI WANAFAHAMU KILA STEP WANAOICHUKUA ....
  10. K

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    HIVI UNAFIKIRI UNAAKILI NYINGI KULIKO ASKARI ..UNAFIKIRI WAO HAWAJUI WANACHO KIFANYA AU UNATAKA WANAPOKUWA FIELD WAMTANGAZIE KILA MTU SASA JAMANI SASA TUKO MBEZI KIMARA TUNAWASAKA MAJAMBAZI ...ACHA SNITCHING....I CAN READ YOUR MIND NA KUONA KUWA IS THE SAME FACE BUT DIFFERENT CORNER...
  11. K

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    NIJUKUMU LANGU MIMI NA WEWE KUFANYA ULINZI KATIKA NCHI HII... MAJAMBAZI SIKU ZOTE TUNAISHI NAO MITAANI KWETU NA TUNAWAFAHAMU CHAMSINGI NIKUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KATIKA KUFANIKISHA MKAKATI HUU ULIYOPO.. ACHA TABIA YA KU POINT FINGER WENZIO HIYO NITABIA YA WOGA...
  12. K

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    HIVI 2020 LOWASSA ATAKUWA ANAMIAKA MINGAPI VILEE ANY WAY TUTAWAPA MWINGINE AWAONGEZEE MVUTOO SUBIRI VIJANA
  13. K

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Siyo telemka .....Sema teremkaa we wawapii.. hata hujui matumizi ya R na L... utamuelewaje sasa John Pombe
  14. K

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Hahahahaa ....... dalili za mfamaaaaajii......hahahahahaha... haters lakini utawaona wanavyo book tikerts....hahahaha
Back
Top Bottom