Search results

  1. marcus rojo

    Hofu kubwa na hofu ndogo! Dr Christopher

    CDF Mabeyo anashangaa kwa nini watu wana hofu na matukio ya mashambulizi ya risasi ya hivi karibuni kuliko ilivyokuwa wakati wa mauaji ya viongozi wa vijiji vya kibiti. CDF Mabeyo amegundua kuwa watu wana hofu kwa sababu mitandao na vyombo vya habari vimechafukwa na kauli za kulaani jaribio la...
  2. marcus rojo

    Dr. Christopher: Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion

    MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya na Asia zilikuwapo tangu 2010. Mamlaka za kiserikali na za kitaasisi zimefanya uchunguzi na...
  3. marcus rojo

    Tucheke na mama zetu leo

    [emoji68]‍[emoji65]‍[emoji65][emoji68]‍[emoji66]‍[emoji65][emoji68]‍[emoji66]‍[emoji65] Nani kama mama ?? Utajuaje kama mama ako ni mtanzania......... -Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..? Huyo mbongo -Ni anapo kuachia...
  4. marcus rojo

    Anaandika mwanaccm kuhusu Tundu Lissu na jinsi anavyomfahamu

    Nimelipenda hili andiko Kwa mara ya kwanza kumuona Lissu ilikuwa kupitia TV na sikumkubali kabisa. Alikuwa mwanasheria tu kipindi hicho. Nilifanya kosa kubwa sana la kuuweka UCCM mbele na kuto-pay attention kwenye content ya alichokuwa akikisema. Hata alipoingia bungeni bado nilikuwa na...
  5. marcus rojo

    Hongera rais Magufuli

    Leo namtunukia mkuu wangu wa nchi Tuzo isiyoonekana. Nampenda sana Magufuli. Niliwahi kujifunza kuwa, mambo mazuri kuliko yote huwa hayaonekani, wala hayana harufu, wala huwezi kuyashika, bali unaweza kupata hisia za mambo hayo moyoni. Napongeza Rais kwa namna anavyoshughulikia mambo mengi ya...
  6. marcus rojo

    Kuna kitu nakiona kwenye ulimi wa Mh. Freeman Mbowe

    KUNA KITU NAKIONA KWENYE ULIMI WA FREEMAN MBOWE. '' Mishale ya saa iliyokuwa ikimuonyesha muda wa tabasamu..Ghafla imesimama kwenye dakika za huzuni..Siamini kama kifua chake kimebeba moyo wenye furaha kwasasa..Kama ipo basi ni furaha bandia, anayoitengeneza kwa nguvu kubwa mno..Ili igeuke tiba...
  7. marcus rojo

    Siasa vs michezo, kisa kafanya wa chadema!

    WANYAMA APEWA MTAA DAR Anaandika Ezekiel Kamwaga _________________________________________ Mwacheni Victor Wanyama apewe MTAA! Sisi Watanzania ni watu wa ajabu kidogo. Leo Wanyama kapewa Mtaa hapa Dar es Salaam ba watu wameanza kulalamika tayari. Kwanini tunapenda kulaumu wanaotbubutu? Hivi...
  8. marcus rojo

    Leadership by example!

  9. marcus rojo

    Wale team Hillary

  10. marcus rojo

    Kwa hisani ya Dr. Christopher

    Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo. Napoleon Bonaparte. Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili ya nchi yake. George Patton. Lazima nisome siasa na vita ili...
  11. marcus rojo

    HAPPY BIRTHDAY MR PRESIDENT

  12. marcus rojo

    Badala ya tujadili kuhusu makinikia tunamjadili Tundu Lissu

    Yani mjadala wa makinikia sasa umekuwa substituted na jina la tundu lissu kwanini? Mkuu jana nae badala ya kufocus kwenye mambo ya msingi nae akaingia mkenge kuanza kumjibu lissu why? Kwanini mnatuto kwenye mjadala, ukiingia humu katika thread kumi basi tano hadi saba zinamjadili tundu lissu...
  13. marcus rojo

    Unaduwaa au unashupaa?

    Na Cmn Mtega Kayoka 17 Phds at BoT 1. Kuna kitu tunaita Symbolic Power... ambacho huzalisha social capital... mtu mwenye symbolic power kubwa sana katika Jamii... Kama Rais au Askofu au CDF au IGP huwa na higher social capital kwa hiyo akisema jambo kwa mfano huweza kuchukuliwa ni sahihi kwa...
  14. marcus rojo

    Karibuni Kibiti

    Sasa unaingia kibiti.
  15. marcus rojo

    Minding your business,.!

    Paul: Do u drink beer? Patrick: Oh yes. Paul: How many bottles per day? Patrick: 5 Paul: When did u start drinking beer? Patrick: 18yrs back. Paul: How much is a bottle? Patrick: 3000/- Paul: So u spent 15000/- for beer per day? Patrick: Yes. Paul: If u were saving that 15000/- per day times...
  16. marcus rojo

    Tofauti ya masikio yao.

    Angalia masikio yao, ukubwa wake then angalia na hizi picha hapa chini Nauliza sababu ni genetics? Na je kuna tofauti yeyote katika hearing ability?? Nawasilisha!
  17. marcus rojo

    Trump vs Comey

  18. marcus rojo

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Hili ni andiko la Dr Adelardus Kilangi,mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Arusha,mwanasheria kitaaluma aliyebobea kwenye sheria za madini,na mwenyekiti wa bodi ya Petrol Tanzania! ............................................ Wandugu, 1. Nitaomba tuvumiliane. Niliombwa...
Back
Top Bottom