Search results

  1. ben brancoII

    Blog inahitaji matangazo(google adsense,nk) kwa anayeweza kusaidia hili faida mtagawana

    Wadau habari za usiku, Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima kama kichwa kinavyosema hapo juu saidia kuwezesha kufanikiwa kwa hili na malipo mtagawana kila mwezi au kila itakavyokuwa, kadri mtakavyokubaliana na mwenye blog. Ni inbox namba yako muhusika atakucall myajenge. Karibuni
  2. ben brancoII

    Njia nyepesi ya kumuadhibu mchawi anayekuja nyumbani kwako kukuroga

    -Nunua mafuta ya simba -UDI Wa kijiti 4 -Unga Wa baruti -Magome ya mkungu yaliyokauka Changanya mafuta ya simba,baruti,na unga Wa magome ya mkungu Pakaa Dawa hyo kwenye UDI 4 za kijiti Chomeka udi hizo kwenye pembe NNE za Nyumba au chumba Washa udi hizo ukianzia kushoto...
  3. ben brancoII

    JINSI MCHAWI ANAVYOMWITA JINI NA KUMTUMA

    NJIA YA KIGANJA CHA MTOTO Njia hii ya kumuita jini muovu aliyehasi na kumtumia kwa kutumia kiganja cha mtoto mdogo ambaye hajabalehe ni njia inayofahamika sana na wachawi sababu ni miongoni mwa njia wanazozipenda sana kutokana na urahisi wake na wepesi wa kuleta majibu kwa kuhudhuria kwa jini...
  4. ben brancoII

    Mafuta asilia kwa ajili ya kukuza nywele zako na kuzifanya ziwe laini

    Watu wengi hupenda sana nywele zao ziwe katika muonekano mzuri na zenye afya tele,katika hali ya kutafuta mafuta ya kuweza kuziboresha zaidi watu wengi hujikuta wakitumia gharama nyingi katika kununua mafuta mbalimbali yenye makemikali na hatimaye kujikuta wanapata athari ktk nywele zao bila...
  5. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    VIFAA kuku mwekundu jogoo chungu kipya kikubwa chumvi ya mawe kG1 ndimu kali 7 sindano 7 kitambaa chekundu mita 1 MAFUSHO YATAKAYOTUMIKA ubani maka, sandarus, jawi , dhukuri, kafur mayti, haltiti, shubir, na unga wa mfupa wa kichwa cha ng'ombe kisha utaanza kusoma surat nnaziat zote na...
  6. ben brancoII

    Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

    Wakuu habari za usiku, Nahitaji msaada wenu wa ushauri, Miaka minne iliyopita nilimpa mwanamke fulani ujauzito mkoani Tanga, kutokana na pilikapilika zangu utafutaji kipindi hicho sikuweza kumhudumia kwa chochote maana nilikuwa mbali nje ya nchi na hatukuwa na mawasiliano na nilimuacha na...
  7. ben brancoII

    Je, unapenda kuwa na makalio makubwa bila kutumia dawa yoyote?

    Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu hizi za mwili zinaweza kunenepeshwa kwa kutumia sayansi ya lishe bora, kunywa maji mengi na mazoezi ya...
  8. ben brancoII

    Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    (ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema) Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kulegea kwa misuli ya uke, hali hii husababisha Uke kulegea au wanaita Kutepeta(unanipata...
Back
Top Bottom