Search results

  1. I

    Inakuwaje Waziri wa Uchukuzi wa Zanzibar akiwa kwenye kikao na viongozi waandamizi wa Serikali ya Muungano?

    Nimeiona kwenye mitandao Leo Waziri wa Uchukuzi wa Zanzibar akiwa kwenye kikao na viongozi waandamizi wa serikali ya muungano kwa maana hiyo kwenye kikao hicho Waziri anawakilisha maslahi ya Zanzibar na kwa hiyo ingekuwaje kama Serikali ya muungano ingewakilishwa na Waziri ambae labda angekuwa...
  2. I

    Yanga Day imetumika kisiasa kuhujumu mkutano wa CHADEMA viwanja vya Bulyaga kuhusu mkataba wa bandari?

    Hilo ni swali nimekuwa najiuliza toka wananchi walipoamua ghafla tusherehekea siku yao tarehe 22/7/2023. Nitangulize kujitangaza kuwa mimi ni mwananchi lakini kwa hili sijawaelewa YANGA. Hii inatokana na maswali yafuatayo. 1. Uwepo wa mkutano wa sauti ya wananchi kulalamikia Mkataba wa DPW...
  3. I

    Tulinganishe hoja juu ya mkataba wa DPW

    Baada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili. Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba. Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba...
  4. I

    Wanasheria tuelimisheni

    Baada ya kustaafu uspika Ndigai analipwa mafao take ya pension ambayo tunaambiwa no pamoja na 80% ya mshahara wa spika aliyeko madarakani na mafao mengine. Swali langu ni je mshahara na mafao yake ya ubunge yanakuwa nyongeza ya yale ya uspika ama atachukua mojawapo?
  5. I

    Mgao wa umeme tunavuna matunda ya sera zisizo endelevu?

    Wakati wa uongozi wa awamu ya pili wa Rais Mwinyi nchi hii tulipatwa na janga la ukame lililosababisha kuwepo na mgao mkubwa wa umeme. Miradi ya kifisadi ya IPTL na Richmond ilikuja tokana na janga hilo. Kila inapotokea upungufu wa mvua mgao wa umeme hufuatia. Baada ya ugunduzi wa gas katika...
  6. I

    Halima Mdee upo wapi? Wapambanaji tunakumiss

    Tumezoea kwa nyakati Kama hizi kumwona mpambanaji jasiri akiongoza jeshi la wakinamama wa CHADEMA akiwa bega kwa bega na wapambanaji wengine kwenye majukwaa ya kisiasa akidadavua sera za chama. Huduma hiyo tunaihitaji sana wakati huu wa kuelimisha watanzania juu ya umuhimu wa katiba mpya...
  7. I

    Ubora wa budget

    Budget ya 20/21 imepita kwa kishindo bungeni 94%. Spika anasema haijawahi kutokea kwa budget kupitishwa na idadi kubwa hivi ya wabunge. Wiki mbili baada ya kusainiwa kama sheria na kuanza kutumika malalamiko yamekuwa mengi na kulazimisha marekebisho. Je kishindo ni cha ubora wa budget ama ubovu...
  8. I

    Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Nianze kwa kumshukuru Nape Nnauye kwa kutoa hoja iliyomtoa nyoka pangoni. Kwa muda sasa Watanzania wamekuwa wakijiuliza ni lini spika atajitokeza na kutoa kauli juu ya wabunge hao 19 wasio na chama. Alipojitokeza amekuja na hoja zilizoongeza mkanganyiko ambazo zinahitimisha kwa msimamo kuwa...
  9. I

    Spika Ndugai na uvunjifu wa katiba.

    Ukiingia kwenye mtandao wa Twitter hukosi kusoma malalamiko kuhusu uvunjifu wa katiba ambao spika Ndugai ameonekana kuufanya kwa kuruhusu wabunge 19 wasio na chama kuendelea kuwa wabunge. Mimi najiuliza maswali yafuatayo, 1) Ndugai ana utetezi gani wa kikatiba au kisheria unaompa nguvu ya...
  10. I

    Je, ni sahihi kwa kiongozi wa nchi kutumia jukwaa la dini (ibada) kutoa ujumbe kitaifa?

    Tanzania tumebarikiwa kuwa na awamu tano za uongozi toka tupate uhuru. Katika awamu zote kila rais amakuwa na mtindo wake wa kufikisha ujumbe kwa wananchi. Nyerere alitumia majukwaa matatu kuwasilisha ujumbe kwa wananchi anapokuwa na jambo la kitaifa. Kwanza ni kupitia kwa wazee wa...
  11. I

    Hivi ni sawa kwa Chombo cha Habari kufungiwa kutoa huduma?

    Hili ni swali fikirishi. Tumeshuhudia mara kadhaa Vyombo vya Dola (TCRA, SERIKALI) vikitoa adhabu ya kuvifungia kutoa huduma vyombo vya habari pale vinapokiuka taratibu hata pengine sheria. Tumeshuhudia hivyo kwa gazeti la Mwananchi, gazeti la Tanzania Daima na hivi majuzi kituo cha TV cha...
  12. I

    Ushauri wa bure kwa mteule wa ugombea Urais kwa tiketi ya CHEDEMA, Tundu A . Lissu

    Nimekuwa nafuatilia hotuba na mahojiano na vyombo vya nje na mh Lissu toka arudi toka ughaibuni. Katika vyote hivyo nimemsikia akitumia muda mwingi kutoa kasoro na mapungufu ya uongozi wa JPM. Ningependa kumhakikishia mheshimiwa kuwa watanzania siyo wajinga kama anavyofikiri. Sifa kuu ya...
  13. I

    Adhabu ya wabunge kutohudhuria mikutano ya bunge anaadhibiwa mbunge ama wananchi waliomchagua?

    Wanajf nimekuwa najiuliza swali hili bila majibu naomba msaada wenu. Mara nyingi tumeona wabunge wakiadhibiwa kwa makosa mbali mbali kwa kuzuiwa kubudhuria vikao vya bunge. Wakati wanatumikia adhabu zao wabunge hao wanapata mishahara yao kama kawaida. Kitu wanachokosa ni posho tu. Kwa upande...
  14. I

    Kamati ya haki na madaraka ya bunge.

    Wakuu na wale wenye taaluma ya kufanya uchunguzi tusaidieni. Toka mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992 kumekuwa na mabunge 4 kama ifuatavyo. 1995-2005 vipindi viwili chini ya Pius Msekwa, 2005-2010 chini ya Marehemu John S. Sitta, 2010-2015 chini ya mama Makinda. Swali langu ni 1) wabunge...
  15. I

    Mipango ya miradi mikubwa je tuna hela ya kufinance?

    Kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema kupitia kwa mgombea wake wa mwaka ule Dr. W. Slaa aliahidi kuboresha reli ya kati iwe ya kisasa. Sisi wanaccm rulimdhihaki na kusema anaota ndoto za mchana kwani hatuna hela ya kuanzisha mradi mkubwa kama hiyo. Chini ya miaka kumi toka tutoe maneno hayo ya...
Back
Top Bottom