Search results

  1. K

    Gwajima na Lema mjifunze kwa Mbunge wa Moshi Jaffar Michael kutolilia Mic msibani ili kuongea

    Haya ni matukio mawili tofauti; moja ni la kitaifa na lingine ni la kifamilia. Hata mtoto mdogo anaweza kutofautisha!utachekwa.
  2. K

    Project funding sources

    Naomba kuwauliza wadau kama focus vikoba ni ya kweli au utapeli?
  3. K

    Spika Ndugai: Askari nikisema mbunge atoke akikaidi mpigeni nawaruhusu

    Kwani ziliendelea walianzia wapi had I kufika hapa? Ni dhahiri walianzia chini na sasa wapo juu. Mtoto mchanga anaanza ma kunyonya baadae anakula ugali! Acha unazi!
  4. K

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Nawashauri Mdee na Bulaya wasikate tamaa. Hakuna njia nyingine ya ukombozi isipokuwa kikomaa nao(mafisiem)
  5. K

    Spika Ndugai: Askari nikisema mbunge atoke akikaidi mpigeni nawaruhusu

    "Healthy body, healthy mind". Kwa muda aliougua spika Ndungai inahalalisha hasira pasipo jambo la msingi na maamuzi yasiyo sahihi.
  6. K

    Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    Serikali hii imeamua kuweka busara kando na kukumbatia ubashite. Kuzuia mwili wa Hayati Ndesamburo kutembezwa katika viunga vya mji wake in kujenga uadui mkubwa kati sirikali na wananchi wake. serikali ijifunze kutoka Rufiji!
  7. K

    Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mitaani Moshi ni utesaji

    Acha mawazo mgando. Dini nyingine wanachoma moto maiti, lakini wewe umekariri kuhifadhiwa kaburini tu. Halafu wengine wanawahi kuzika kutokana mazingira ya hali ya hewa, technologia, na uchumi.
  8. K

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Msaada Kuna hii Sacco's inaenda kwa jina la FUCOS VICOBA kwenye mandao wa facebook na wanadai kuwa mmoja wa wamiliki wake no mh Ridhiwani Kikwete. Je hii saccos ni ya kweli au ni utapeli?
  9. K

    Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

    mbio za mwenge wa Uhuru zimekuwa zikijalalisha upigaji wa Mali ya umma na pia kupiga kampeni zisizo rasmi na ndio maana JPM anasita kuzifuta.
  10. K

    ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

    Wazungu wasingeweza kuiba bila usaidizi wa wabongo. Tuanze kudeal na wabongo kwanza, wazungu watakuwa wameshuhulikiwa automatically.
  11. K

    Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

    Suluhisho limetolewa na wengi akiwepo Lissu na ZZK! Wewe in mvivu wa kufikiri kama hujaona au kusikia suluhisho zote hizo.
  12. K

    Ni gharama kubwa kuwa na Mwanasheria mzuri asiye na uzalendo

    Ulivyoanza Uzi wako Mimi nilidhani unawasema akina Chenge na mkono, kumbe unamzungumzia shujaa, MTU ambaye si mnafiki, assertive na mzalendo wa kweli; Tundu Lissu!Walioifikisha nchi hii hapa ni CCM na Wabunge wake ambao walishangilia mikataba mibovu Sikh za nyuma. Na hao ndio si wazalendo.
  13. K

    FAO LA KUJITOA: Tundu Antipas Lissu Kupigania Wafanyakazi

    Mkuu, unatakiwa uwe serious kwenye mambo ya maana. Halafu unajiita doctor?
  14. K

    Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

    Kama wote wapo hai na wanaweza kuchora, basis tuwape nafasi wachore tena nembo ya Taifa kisha tulinganishe na mchoro uliopo. Kwa kufanya hivyo tunaweza kujua ni nani hasa mbunifu wa nembo ya Taifa.
  15. K

    Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!

    Nakuliana na Pasco kuwa chanzo cha matatizo yetu ni ujinga. Lakini lingine ni kukosekana uwazi(transparency) na uwajibikaji(accountability). Leo Magu anjitahidi kupiga vita ufisadi lakini wakati huo huo "anamassacare" vyombo vya habari! Sasa hapo unajiuliza kama kuna dhamira ya kweli.
  16. K

    Napata shida na wanasiasa aina ya Tundu Lissu

    Dah, mawazo yako yanaendana na jina lako la kwenye mipasho! Laki si pesa!
  17. K

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Mimi naamini Magu ameyafanya haya si kwa sababu ni mzalendo sana ila mazingira ya kifedha aliyoyakuta hazina. Tukumbuke kuwa kampeni za 2015 zilikuwa ngumu kiasi cha Magu kutoa ahadi kubwakubwa kwa wananchi ili achaguliwe. Na chama chake kilidhamiria kurudi ikulu kwa gharama yoyote hivyo...
  18. K

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Magu aliyaona haya lakini akakaa kimya kusubiri aje kuwa rais ndio achukue hatua? Je, kama asingekuwa rais haya angeyafanya lini?
  19. K

    Rais Magufuli, mwishoni mwa sakata la "mchanga" tutawahitaji Kikwete na Mkapa

    JK na Mkaahapa wanahusika sana Tz kupoteza fedha nyingi tena za kigeni kwa kuingia mikataba mibovu. Walikuwa wanafahamu fika kuwa mikataba inaigharimu nchi lakini kwa sababu ya ubinafsi wakafumba macho. So kuzuia mambo haya kujirudia ni muhimu KJ na Mkaahapa wakastakiwa mahakamani. All the best...
  20. K

    Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

    Kamati zote za madini, mawaziri, makatibu wakuu waliowahi kushika nyadhifa kwenye madini, marais wastaafu mkaahapa na JK, washitakiwe mahakamani kwa kosa la uhujumu wa uchumi.
Back
Top Bottom