Search results

  1. R

    Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) anena haya baada ya kuyaona alipokuwa gerezani

    Kule ni chuo cha mafunzo alikoroge tena kirago chake bado kipo
  2. R

    Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Kauze upate mtaji acha maisha ya kutegemea binadamu jitegemee kwanza hiyo siyo nyumba ni kiwanja au tuite pagare sijawahi kuajiriwa sitegemei kuajiriawa nimejiajiri nakushauri ujiajiri
  3. R

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Ulaaniwe tena ulaaniwe mara1000 kwa ulichomfanyia huyo mtoto wa mwanamke mwenziyo kama hii hadithi ni ya kweli
  4. R

    Raisi Magufuli amegusa ,,wanufaika" sasa moto kuwaka!

    Umeandika kama bata tulia ulete habari iliyoshiba hii haijajitosheleza
  5. R

    Hivi maiti ni lazima kumvalisha sanda?

    Kwani wewe nilazima uvae Nguo? tembea uchi tukupeleke mirembe
  6. R

    Mikopo ya benki yaacha vilio

    Ngoja niwahi siti ya mbele mkopo saa zingine ni bora uuze mwenyewe mali yako
  7. R

    Yahusu kufuta kauli

    Kwa mtazamo wangu kama hajakanusha vile maana nusu ni wapumbavu na nusu si wapumbavu nikama kasisitiza tu
  8. R

    Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

    Wewe mipira unahadithiwa hata hauanglii krosi iliyo zaa penalti ulipiga wewe nini
  9. R

    Ikulu: Rais Magufuli azindua taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete

    Ungekuwa haujajificha nyuma ya keyboard tungejua wewe pia ni waovyo au wamaana jiheshimu acha kushambulia wazee wetu
  10. R

    Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

    Casemiro huyo jamaa ni mchezaji wa sayari nyingine aise
  11. R

    Trade War: Baada ya China kujibu mapigo,Marekani yarusha kombora lingine

    Watajuana wenyewe mimi asubuhi nitakula mihigo mchana makande usiku mahindi ya kuchemsha siku imepita hiyo
  12. R

    Naomba Msaada, mekosa ada laki tatu

    Uza simu maana kwa mtazamo kama unayo smart phone inakufanya unashinda jf badala ya kusoma
  13. R

    Freeman Mbowe: Zamani tuliona nchi hii ina udikteta uchwara, ila sasa ina udikteta kamili

    tena mbowe ni zaidi ya dikteta maana kila aliyetaka kugombea uenyekiti tu alimuondoa kwa kisingizio cha usaliti
  14. R

    Real Madrid leo atamshinda Juventus

    Man city ipi hiyo wakati kesho wanaaga
Back
Top Bottom