Search results

  1. wakanda

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wakanda

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Being Bilionaire its a Marathon not a Sprint.
  3. wakanda

    Wanaume wa kisasa wana umama kidogo

    Vijana siku hizi mmna mambo ya kimama kabisa ndo maana wengi wenu mnawaza Tigo tu!! Wengi wenu ni mashoga yoote hayo yanatokana na Umama wenu... Mnaoa hamjui maana ya ndoa...Ukioa umeoa heshimu ndoa...ukiwa na kimada basi hiyo ni kazi yako kukiweka sawa. Sio mnaleta dharaaau Siku hizi hata...
  4. wakanda

    Wanaume wa kisasa wana umama kidogo

    Umekurupuka Blaza. Soma tena makala. Sio lazima jiji letu sisi wa zamani wengine tulikua hatuna televisheni.
  5. wakanda

    Real Madrid

    Wewe ni mpenzi wa Real Madrid na Cr7 basi! Ila una ushabiki wa Mpira kwa mbali sana
  6. wakanda

    Cheating vs Money

    Kwani unaavyosema kukupiga yani ni yule anaetaka umuhonge sana? Ama anakuibia??
  7. wakanda

    Cheating vs Money

    Wote wabaya tu...ila nahisi wa pesa sawa kuliko wa kucheat!!
  8. wakanda

    Natafuta hii movie, kwa aliyeiona je iko vizuri?

    Kwanza sio Series ni Sequel sawa? Pili Movie imetoka wiki ilopita na kwa Mahafhi yake usitegemee kupata iliosafi kwenye link zozotee sahau ime muda mwezi hadi miezi 2 ama 3 ndo utaiona safi. F8 yenyewe hakuna safi zote chafu. May be inaonekana huna uzoefu wa kudownload!!
  9. wakanda

    Ntajie movie zako mpya 5

    Hakuna App ya namna hiyo
  10. wakanda

    Series (Special thread)

    Nasikia ni nzuri sana aise
  11. wakanda

    Special thread : Messi Magics

    Kuna watu tunachangia bila hata kuwa na facts...Lazima ujue nn unasema jamani...Fanya study ya kutosha kisha useme sio tu unakurupuka "Hakuna kama Gaucho" ....Umefanya study ya maana mpaka useme hivyo au unabwatuka tu?? Unapotaka kuyoa maoni yako fikiri kwanza, kuwa na facts kibao za kutetea...
  12. wakanda

    Series (Special thread)

    Ni series ya kijinga sana kwa kweli, binafsi sijaipenda, nilikua na Mategemeo makubwa sana kutoka kwa Marvel ila naona kama wameshindwa kudeliver what is expected from them kutokana na kufaulu kwao upande wa Movies. Iron Fist, imekumbwa na critics nyingi sana Rotten Tomatoes imepewa 17% sasa...
  13. wakanda

    VING'AMUZI VYA CANAL

    Wadau nimesikia na kuona ving'amuzi vya namna hii ambavyo kwa habari ninazozisikia ni kwamba ni king'amuzi cha nchi jirani kama Kongo, rwanda, burundi na kwingineko ila kuna baadhi yapa bongo wanavyo. Vina channel za CANAL Sports ambazo zinaonyesha mpira na wa ufaransa na uingereza na kwa...
Back
Top Bottom