Search results

  1. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Tatizo siyo safari kinachotakiwa ni kuoanisha gharama zinazotumika kufanya safari hizo na hali ya uchumi wa nchi . Takwimu zinaonyesha mzee wa magogoni amesafiri safari nyingi sana kweanda maeneo mbalimbali nje ya nchi kwa shughuli za kakazi na mausino . lakini mpaka sasa hakuna chochote...
  2. M

    Wanalima kweli au?

    Ni vizuri uelewe kuwa kilimo kwanza ni kauli mbiu ya serikali yenye lengo la kuboresha kilimo nchini na kuwaweesha wakulima kupata tija kupitia mazao wanayozalisha '' hivyo walengwa ni wananchi wote kwa ujumla kwa kuzingatia kuwa uchumi wa tanzania unategemea kilimo'' kimsingi haijalishi ni...
  3. M

    Tupunguze Gharama za Maisha

    Naomba uondoe kabisa mawazo mgando uliyonayo kuhusu ndoa' na elewa wazi huelewi chochotekatika hili , taasisi ya ndoa ni kubwa sana na ndio inyotoa dira ya muelekeo wa maisha ya mwanadamu , kama mtu ana tabia mbaya basi kupitia taasisi hii kila kitu kitakuwa wazi na atakuwa na fursa ya...
  4. M

    huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

    Unapashwa kuwa na uhakika kwa hayo maneno unayosema , kwani suala la kuoa sio jambo la mchezo ,elewa kua hata huyo binti anataka kukupima kama umemaanisha au la'' japokuwa anakupenda , lakini nakushauri kama umedhamilia kuoa kweli fuata taratibu zinazotakiwa ,ili ujenge heshima kwake na aelewe...
  5. M

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    Naomba uelewe kuwa huyo rafiki wa mumeo ni mwanaume kama wanaume wengine , je katika maisha yako ya ndoa hujawahi kutongozwa na mwanaume yeyote? kama jibu ni ndio je ulitumia njia gani kumuepuka? naomba utumie njia ya kukutaa na kuonyesha msimamo wako kama kama mke wa mtu kuliko kijiweka...
  6. M

    Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani?

    pole sana dada yangu kwani wanaume hawana fadhila kabisa pamoja na kumzalia watoto wawili bado hatosheki ; kamwe usijizalilishe mtumaini mungu utaona mafanikio yake , tuone hiyo tigo itampa faida gani.
  7. M

    Huyu Dada hana mifupa!

    Baada ya kupekua file hilo naungana na wewe huyo dada hana mfupa kweli.
  8. M

    Happy Birthday DaMie.

    Piiiii piiiii nipisheni jamani nimpe zawadi huyo DaMie mimi upekuzi wangu haukujua kuwa hili toto la Kichaga ndiyo limezaliwa jana! DaMie happy birthday hebu pokea hii zawadi
  9. M

    Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

    Mkuu upo juu sana nashukuru kwa kupost vitu vya ukweli sana.
  10. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Napenda kutoa shukrani za kipekee kwa member wote mlionikaribisha na wale ambao hawakuiona thread lakini walikuwa na nia hiyo. Tupo pamoja tutazidi kukutana majukwaani. Mwisho namshukuru PakaJimmy kwa kunipa stuff ya kutosha kuhusu sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya JF niko njiani kuwa...
  11. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Nashukuru mkuu tupo pamoja sana.
  12. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Nimeshakunywa gahawa ya Katavi KakaKiiza, nashukuru.
  13. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Baba tupo pamoja usiogope mkuu, nashukuru.
  14. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Nashukuru Chatu Dume tupo pamoja mkuu.
  15. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Katavi nashukuru kwa gahawa japokuwa dada yangu WiseLady alitaka unikaribishe kwa juice lakini hakuna shida.
  16. M

    Mtendaji Iringa amejiua!

    Wewe unafikiri ukaguzi mchezo, ngoja Zitto nae aue wengine na fedha za Stimulus Package!
  17. M

    Babu Loliondo Apimwe Akili

    Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.
  18. M

    Naibu Mwanasheria Mkuu wa SMT na Waziri Ghasia Live Channel Ten Kuhusu Muswada wa Katiba

    Hawa Ghasia tumemzoea na kauli zake, naona gamba kwake bado halitoka vizuri, likitoka atagungua ulikuwa ni ujinga tu
  19. M

    Ngooo ngoooo Ngooo JF.

    Wana JF wote ninayofuraha kubwa sana leo hii kuachana na u guests wa JF na kuwa member kamili. Ni matumaini yangu nitajifunza mengi na kutoa changamoto nyingi kwa yale ninayo ya fahamu. Pia msisite kunijuza kwa yale nitayoingia chaka kutokana na uchanga wangu. Ni imani yangu tupo pamoja.
Back
Top Bottom