Search results

  1. F35-Bomber

    Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000 Storage GB 128 Ram gb 6 Haina cracks. Used but in good conditions Free charger Free cover Free protector
  2. F35-Bomber

    Je Kampuni ya Kash Poa ni matapeli?

    Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni. Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu halafu unafanya utapeli wa elfu mbilimbili unalipa halafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa...
  3. F35-Bomber

    Malalamiko kwa NSSF: Inawezekana Mwajiri alipe michango ya Mwanachama lakini Mhusika asiione?

    Habari za mwaka mpya wanajamvi. Poleni na jukumu la kulipa ada maana zamani watoto ndio tulikua tunakula ada ila siku hizi hao watoto wameshakua wazazi kwahiyo tabia bado inaendelea. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Malalamiko yangu kwa uongozi wa NSSF embu wahusika jaribuni...
  4. F35-Bomber

    Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

    Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu. Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja. Naomba msaada wenu juu ya hili.
  5. F35-Bomber

    Msaada: Likizo bila malipo.

    Habari za mchana wadau wa jf dimbwi la maarifa. Ninafanya kazi sekta binafsi,nimechukua likizo ya bila malipo sasa ni mwezi mmoja toka October,silipwi mshahara wala chochote kwenye akaunti yangu ya bank ,lakini cha ajabu kuna malipo yanafanyika kwenye mfuko wangu wa kijamii ikionesha kuwa kuna...
  6. F35-Bomber

    Msaada: Naomba kujuzwa nawezaje kupata salary slip zangu za miaka ya nyuma?

    Habari zenu wakuu wa kazi, naomba kuuliza eti nawezaje kupata salary slip zangu za mwaka 2014. ikiwa ni online au pale hazina wana utaratibu gani kwa huduma kama hizi. asanteni.
  7. F35-Bomber

    Ombi/wazo kwa Serikali kuhusu hii kauli naomba iangaliwe upya kwa maslai ya Taifa

    (Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply) Habari zenu wakuu wa jamvi ni matumaini yangu kuwa wengi kama sio nyote ni wazima kwa nguvu za mueza. Binafsi ninaomba nitumie pumzi hii ya leo kuiomba serikali kubadili kidogo mtazamo katika swala...
  8. F35-Bomber

    Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi yamekamatwa na SMG siku nyingine utasikia majambazi yamekamatwa na AK-47 Je ni nini hasa tofauti kati ya...
Back
Top Bottom