Search results

  1. F35-Bomber

    CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Tulimshauri arudi kundini ili azikwe kwa heshima unakumbuka hii kauli
  2. F35-Bomber

    Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wewe kama ni ke na pis, si ufanye one night stand ya 50k umlipie mzee kwa mwezi mmoja
  3. F35-Bomber

    Vijana acheni pombe, kwenye pombe ni fedheha

    Tuanze kwanza una kunywa nini?
  4. F35-Bomber

    JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

    Kuvaa nguo za jeshi ni kuipenda nchi
  5. F35-Bomber

    Gari ya mwendokasi yadaiwa kugonga, kuua mtu na kukimbia,

    Kwani abiri hawakumchukulia hatua huyo dereva
  6. F35-Bomber

    Hii ya wasichana wadogo kujifungua kwa upasuaji imekaaje?

    1:Hawawezi kupushi 2:hawataki iwe kubwa
  7. F35-Bomber

    Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

    Kwahiyo makimbora ya Qassam yaliyopiga Israel juz tar 17 yalikua na akili zaidi?
  8. F35-Bomber

    Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Walioanzisha bar (canteen) makambini walikua na akili Sana maana watu wa kabila moja huzungumza lugha moja sasa wao wanajichanganya lazima lugha ziwe tofauti
  9. F35-Bomber

    Msaada Samsung note 9 vs redmi note 10 pro

    Pia,unaweza kuchukua infinix note 8(x692) au infinix note (hot)30
  10. F35-Bomber

    Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

    Note 9 ina version android 10,simu ipo vizuri sana ,speed ya kutosha,storage ya kutosha,mimi sio mpenzi wa picha lakini naona pia camera ni nzuri ,chasing kioo ni very delicate hakihitaji usumbufu ,kama vile kuweka simu na funguo kwenye mfuko au coins au kubinyi vinginevyo note 9 is the best...
  11. F35-Bomber

    Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

    No money no honey. UnAkumbuka huu msemo? Uliyoandika ni sahihi kabisa but does not help. Siku hizi wanasema tafuta pesa uache kujieleza sana
  12. F35-Bomber

    Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Weka majina yako utaleta majibu mwenyewe
  13. F35-Bomber

    Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Kwani heading inasemaje au nimekosea.
  14. F35-Bomber

    Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Ntumie majina yako matatu. Nikutumie kifurushi cha mwaka mmoja uangaike nacho
  15. F35-Bomber

    Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Waachie wenye uhitaji.
  16. F35-Bomber

    Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Wino wa kawaida ,ilikuja hivyo hivyo nimenunua nimeitumia na bado ipo hivyo hivyo so sio tatizo.
  17. F35-Bomber

    Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000 Storage GB 128 Ram gb 6 Haina cracks. Used but in good conditions Free charger Free cover Free protector
  18. F35-Bomber

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Shida kwa wanasayansi wanasema ushoga ni non_reversable action. Ikisha tokea watoto wa mujini wanasema ndio baasi tena.
Back
Top Bottom