Search results

  1. G

    Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

    Kazi ni moja nayonikuua hawa nyoka 2....!
  2. G

    Mgomo UDOM

    Sijapataona gvmnt kiziwi ikaizidi hii ya JK ,nadhani ni muda wa kuonyesha uhalisia ya mamlaka walizonazo >people power<!!!
  3. G

    Mafisadi kuhamia CHADEMA?

    sijui kitawaleta nn ?watakuja na dhamira gan ?nadhani ni fikra fupi zisizonamashiko hasa ukiangalia ktk uhalisia wake,
  4. G

    Dr. W. Slaa kwenye Channel 10; Pongezi zake!

    Hivi cku 90 zitawaongezea nn ccm au mafisadi ?hofu yangu ni kuwa zitafika na kutakuwa vilevile ccm bana
  5. G

    Lema awasha moto Igunga

    chama kifanye kazi sahihi ya kuamsha fikra za ukombozi maana nikatika fikra mpya na zilisosahihi ndipo mageuzi yanapopata maana halisi.
  6. G

    Mwanakijiji apendekeza mabadiliko ya Mfumo wa Uongozi CHADEMA

    naamini chadema kama taasisi wanafahamu kipindi hiki muhimu cha kufanya mabadiliko hivyo nisahihi kufanyia kazi maoni ya mwanakijiji.
  7. G

    Nimemuona batilda burian

    viongozi wetu no no no!nadhani nitumie watawala,hawa watawala we2 wanatumia muda na rasilimali zetu hovyo kiasi cha kwenda na msururu wa mashangingi kutoa msaada wa bajaj oooh,shame b on thm
  8. G

    How to use JamiiForums effectively

    Nafurahia maisha yangu si2 kwa kuwa nipo hai ila ni kwa sababu kila cku maisha yangu yanafungua mlango mpya wa kuexpress fikra na mitazamo yangu kwa wengine
Back
Top Bottom