Search results

  1. KAROSI

    Usibabaike na fremu za wanawake

    Usemalo kwa kiasi flani ni kweli. cha msingi ni kuwapotezea tu hadi utakapopata wako wa ukweli
  2. KAROSI

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Nimefurahi ulivyo jibu mheshimiwa lakini hali hii imekithiri na watu wanumia, shughuli za kiuchumi zinakwama kama hali itaendelea maana yake ni kwamba tutarudi nyuma kimaendeleo baada ya kusonga mbele. Mheshimiwa Mnyika serikali imeruhusu sekta binafsi kuinvest kwenye umeme, ombi langu kwakua...
  3. KAROSI

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    ni thahiri kua binadamu wa kawaida atafikiri km ww mi niongoze jambo moja biblia inasema ukiuwa kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga hiyvo kuua kwa kusudia,kwa nia ovu(malice aforethought) ni sawa mtu kupewa athabu ya kifo cha msingi maadili ya sheria yazingatiwe ili kuwe na justice.
  4. KAROSI

    Watanzania tunaibiwa fumbueni macho!!

    Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia viwanda vyake imeshindwa kutengeneza neti na kuwapa wananchi walau kwa bei nafuu hadi tuombe kwa...
Back
Top Bottom