Search results

  1. Q

    Kilimo cha miwa Kilombero na rushwa ni jipu kwa wakulima

    Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima. Mfano kama viongozi...
  2. Q

    NSSF Ni kero kwa wanufaika

    Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi...
  3. Q

    Desa la utumishi

    Wakubwa naomba msaada mwenye desa la utumishi tulijadili hapa kwa pamoja vile vimaswali weka hapa viweze kutusaidia
  4. Q

    Brela namba mlizoweka kama msaada hazina maana

    Kuna namba ziko Brela kama technical support kwa ambaye umekwama sehemu unaposajili kampuni imekuwa kero hazipokelewi, nimejaribu kupiga zaidi ya mara 40 toka jumatatu hakuna anayepokea namba yangu na nahitaji msaada ili niweze kujaza form online, kiukweli nimejikuta napata hasira kwa nini...
  5. Q

    Usafiri wa Uber umekuwa shida kwa wamiliki baada ya kuwa na mlolongo mrefu wa kujisajili

    Hapo nyuma usafiri wa Uber ulianza kuwa mkombozi kwa vijana waliokosa ajira kwa kujiajiri na uber na hivyo kupelekea kupunguza kero ya utegemezi kwa ndugu na kuweza kuendesha maisha ikiwemo kupanga chumba na kupata angalau kaakiba ka shughuli mbalimbali Lakini chakushangaza badala ya kuisapoti...
  6. Q

    Wilaya ya Rungwe na upungufu wa maji

    Pamoja na kwamba Wilaya ya Rungwe ni miongoni mwa wilaya zenye mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji lakini cha kushangaza baadhi ya mitaa wakina mama wanajitwisha ndoo kichwani, miaka ya nyuma kulikuwa hakunaga shida ya maji hii ilitokana na uchache wa nyumba zenye bomba na population ya watu...
  7. Q

    Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!

    Nikiwa kama mdada mwenye uchungu na suala la kufanya mapenzi na mtu usietegemea nimeona nililete hili suala hapa. Kule Coco Beach kuna wakaka huwa wanakodisha maboya ya kuogelea. Ukienda kukodi wanakuambia tukufundishe kuogelea, ukikubali wanakupeleka katikati ya kina cha maji ambapo unakuwa...
  8. Q

    Kuibuka kwa mafunzo ya namna ya kuishi na mwanaume

    Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la mafunzo ya ndoa kweye mitandao na namna ya kumridhisha mwanaume kimapenzi lakini cha ajabu ndoa nyingi zimezidi kuvunjika, ndipo nikagundua kuwa kubiringika kitandani tuu huwezi kudumisha ndoa bali ni pamoja na kujituma kwa kuongeza kipato chako kwa ustadi...
  9. Q

    Hali ngumu ya maisha na kuongezeka kwa vikwazo vya kimaisha

    Ndugu wenzangu maisha yanazidi kuwa magumu mtaani lakini kila ukijaribu kufanya maarifa ili uweze kusimama bado hali ni tete. Zamani mtu alikuwa akisoma basi uhakika wa ajira ulikuwepo lakini ni tofauti na sasa mtu umesoma lakini miaka miwili unatafuta ajira bila mafanikio Ukisema ufungue...
  10. Q

    Kuongezeka kwa wanaume tegemezi ni hatari kwa taifa letu

    Miaka ya nyuma baba akisikia mtoto aliyezaliwa ni wa kiume walikuwa wanafurahi saana kuwa nimepata msaidizi na mrithi wangu maana wazee wa zamani walikuwa vizuri kutetea uanaume wao na kusimamia vizuri familia zao kama baba mwenye jukumu. Maisha haya yakabadilika kabisa wanaume wengi wamekuwa...
  11. Q

    Umuhimu wa vibamia na kupunguza maambukizi ya UKIMWI

    Juzi nilienda kupima ukimwi katika mazungumzo na daktari aliweza kunielewesha namna michubuko inavyotokea na kupelekea maambukizi na sababu ambazo huwezi kukwepa kupata maambukizi ambazo ni pamoja na kutembea na mtu mwenye uume mkubwa. Hivyo basi nimeona nishee na wenzangu nimeona tujikumbushe...
  12. Q

    Ushauri: Ana bahati ya kupata wanaume ila baada ya muda anaachwa

    Jamani kuna mdada anaomba msaada wa mawazo, amekuwa na bahati ya kupata wanaume wazuri lakini baada ya muda kidogo wanamchukia kabisaa au yeye mwenyewe huwachukia na kuwadharau mwisho wake humuacha kabisa. Amejaribu kwenda kanisani ni kama kitu kimemfunga kwamba asiolewe maana baada ya kupata...
  13. Q

    Majembe Action Mart kuvunja sheria za kudai madeni pasipokuwa na order ya mahakama

    Siku hizi kumekuwa na wimbi la notice la kudai deni kutoka Majembe Action kwa niaba ya kampuni fulani na kutoa taarifa za siku kumi na nne ya kuja kukamata mali za mtu pasipokuwa na kibali cha mahakama, yaani kampuni kama linadai kampuni lingine pasipo kupelekana mahakamani basi huwatumia...
  14. Q

    Huduma za BRELA ni changamoto

    Ukienda ofisini kwao unaambiwa unatakiwa uombe online, unaomba online wanakuambia majibu ndani ya siku tatu. Hizo siku tatu zinaenda mpaka kumi unawafata tena wanakuambia tutakujibu ndani ya masaa, unasubiria jibu mpaka unakata tamaa. Kuna haja gani ya kuwambia watu waombe online kama hamuwezi...
  15. Q

    Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

    Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha lakini yeye siku ya kesi yake kairuka ameweka Jumanne na Jumatano ni sababu gani zilizomfanya airuke...
  16. Q

    Siri gani iko kwa watoto mapacha

    Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki Nimejaribu kujiuliza peke...
  17. Q

    Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

    Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake...
  18. Q

    Raisi kuponda vyuo vingine

    Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake...
  19. Q

    Single fathers, mothers and all singles get together party

    Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia. Karibuni jamani!
  20. Q

    Wanaume 'wagumu' ndio wenye mapenzi ya kweli

    Nimegundua wanaume wenye sura ya kawaida na uvaaji wa stara kama vile suruali na mkanda na Tai wanapenda kweli na wana maamuzi ya kiume ni wa kweli hawana longolongo. Tofauti na hawa tunaoshea nao vipodozi ni shiida kwa kweli huyu hata akija adui anaweza kujificha hata uvunguni.
Back
Top Bottom