Search results

  1. Wiyelelee

    Libermann School, Mnawanyanyasa watoto

    Karibu wiki nzima hii, nimekuwa namsindikiza mtoto wangu Shule ya Libermann iliyoko Mbezi Beach. Nitaandika kwa kifupi maana nawahi Mkutano. Nimeshuhudia watoto wanaodaiwa ada kuzuiwa nje ya gate, huku wenye gate pass wakipita tu. Nadhani Libermann wangekua wanatoa barua kwa wazazi kuliko kuzuia...
  2. Wiyelelee

    Naumia kumuona mtoto wangu

    Ndugu zanguni wana JF, natumaini nyote ni wazima wa afya! Juzi, nilikua na maongezi ya muda mrefu na mfanyakazi mwenzangu. Katika maongezi, nikagundua kwamba yeye, kama nilivyo mimi, anaumia sana. Aliponieleza shida yake, nilimwambia wazi kwamba nami nateseka na mawazo kama wewe. Hivyo...
  3. Wiyelelee

    Kwanini wasomi wanakua cheap kiasi hiki?

    Jana wakati Mh. Tundu Lissu anawasilisha maoni ya wachache Bungeni, alichambua vizuri sana maoni ya wasomi maarufu nchini, wakiwemo Mh. Mwakyembe, Prof. Issa Shivji, na wengine ambao hakuwataja. Kinachonishangaza ni pale mtu msomi ameandika kitabu (Prof. Shivji) na Mwakyembe (PhD. Dissertation...
  4. Wiyelelee

    Hiki ni kichocheo kumfikisha mwanamke kileleni

    Jamani, natumaini wazima. Nimekuwa nafikiria sana ila naona nimepata majibu. Kabla ya kuwa mwaminifu kwenne ndoa yangu, ilikua nikichepuka nje ya ndoa nilikua nafunga goli nne hadi tano ukiachilia mbali zile za kuunganisha. Lakini ilikua nikirudi kwa mke wangu, napiga moja tu nakuwa mchovu...
  5. Wiyelelee

    UDSM yavikandia Vyuo East Africa kwa umaarufu 2013

    Top 100 Universities in Africa in 2013 Posted by Editor / December 23, 2013 - Nakuwekea link hapa kama ili utazame mwenyewe. Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST Share on facebookShare on twitterShare on emailShare on pinterest_shareMore Sharing Services455 The...
  6. Wiyelelee

    Namba za matapeli hizi hapa

    Wamezuka watu wanapiga simu na kusumbua kwamba wanauza kemikali mbalimbali za kusafishia maji. Kuweni macho nao. Naamini namba za mawasiliano wanazipata sana katika stationery ambako watu mbalimbali wanakwenda kuchapisha kadi za harusi au za mialiko mbalimbali. Hivyo ndugu zangu kaa nao mbali...
  7. Wiyelelee

    Namba za matapeli hizi hapa

    Ndugu zangu, Asalaam aleikum! Mimi na ndugu zangu tumekuwa tukisumbuliwa na matapeli ambao wamekuwa wakijitambulisha kwa jina la Dr. Mwakalinga na Dr. Emmanuel. Dr. Mwakalinga akipiga anasema ametokea Mbeya na amepata ajali. Pia anasema yeye ni engineer huko Rukwa, anachimba visima na anataka...
  8. Wiyelelee

    Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Kuoa au kuolewa na makabila haya lazima uwe mvumilivu sana. Pengine watu hujitumbukiza katika uhusiano bila kufanya utafiti wa kina. Nilimsindikiza rafiki yangu kutoa mahali kwa Wapare na niliona mambo ya ajabu sana! Tukaambiwa twende akatabulishwe kwa mizimu ya Kipareni. Nilishangaa wakati...
  9. Wiyelelee

    Nyumba ndogo, we acha tu!

    Leo nimeamua kupasua jibu. Nalishika pembeni na kulipasua PHWAAA! Mi mke wangu alikua na vituko vya kila aina. Nililalamika sana na hatimae nikaamua kujitwisha mzigo wangu na kuukubali. Ila wakati wote wa vituko hivyo, niliamua kuwa na nyumba ndogo 2, moja kati yao alikua kwenye ndoa (Mrembo...
  10. Wiyelelee

    Hiki kizazi cha pambuchi, mbunye

    Jamani wazima? Huwa mimi huwa nasikitika sana. Leo hii, nyimbo nyingi za Bongo flavor ukizisikiliza na kuzichambua utakuta mwishoni zinaelekea mmoja au mwingine "kulilia mbunye". Mitaani utakuta maongezi mengi ya vijana ni mbunye tu! Mimi hapa ninaeandika ni naandika mbunye tu! Na wewe...
  11. Wiyelelee

    Baba mkwe ndo mchawi wa mtoto wetu

    Jamani, nimejitokeza sana hapa. Kabla sijaendelea na kisa hiki, naomba nikuulize swali- Je unaamini kwamba uchawi upo? Mwenzenu imenibidi niamini tu pamoja na kashule kangu kadogo nilikokasotea pale Mlimani, na vyuo vingine. Ni hivi. Tangu tupate mtoto wetu wa kwanza miaka 5 iliyopita, amekuwa...
  12. Wiyelelee

    Nimemzimia Lisa...

    Wana JF, habari za siku nyingi... Napenda niseme ukweli wa moyo wangu. Leo nimebahatika kuonana na kuongea na Lisa! Nilivyomuona tu, moyo wangu ukaridhika kwamba macho yamelenga penye mvuto mkali!. Ahh mtoto wa watu kaumbika, mcheshi na anaushauri mzuri. Nilimsogelea ili nimfahamu vizuri (si...
  13. Wiyelelee

    Nimelia vya kutosha...

    Wanawake wengi wanapenda sana kulia..hata wakifurahia jambo wao wanalia. Ukiona mwanaume analia, haaa jua kuna jambo na kilio chake chaweza kusababisha wengi walie...
  14. Wiyelelee

    Nigeukie, sijazeeka...

    Ukipenda sana disco,hutoiacha katika maisha yako yote...
  15. Wiyelelee

    Huu ni ukatili wa wanawake....

    Nimekuwa nikisema kwamba wanawake ni wakatili sana, nao wakaja juu na kusema kwamba eti wanaume ndo wakatili zaidi. Sasa haya anayafanya nani? Wanaume tunapigwa, tena kisawasawa tu, watoto ndo kama hivi mnavyojionea! Huko Salidalama juzi tu nimesoma kwenye gazeti/ na kusikia kwenye redio...
  16. Wiyelelee

    Wazazi wangenichagulia mke...

    Wana JF, Katika thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412151-kinachodumisha-mapenzi-hiki-hapa-2.html, Mchangiaji mmoja kwa jina la Mzabzab amesema kitu ambacho kimenifanya nitafakari sana. Alichangia hivi; "...wewe mama mzazi ata siku moja hawezi kumtakia mwanae...
  17. Wiyelelee

    Kinachodumisha mapenzi hiki hapa...

    Wana JF, Kuna thread nyingi sana humu ambazo wanawake wamedai wanawapenda wanaume wenye pesa, magari and kupenda kuolewa na mwanaume ambaye ana nyumba, tena sio hiyo ya pale Gongolamboto au Vingunguti au hapo Mbagala mwisho wa upepo! Wanapenda nyumba iwe Mbezi, Mikocheni au maeneo ya huko...
  18. Wiyelelee

    Mitaani: Ni Ijumaa ya lala salama....

    Ijumaa ikifika, kunakuwa maandalizi haya kwaajili ya weekend....
  19. Wiyelelee

    Huku ni kwenda na wakati?

    Huku ndo kwenda na wakati? Imagine kama baba anarudi home akiwa hivi...
  20. Wiyelelee

    MBA za Mzumbe, nazo ni zakujivunia?

    Nimesoma hapa kwenye thread ambapo NAPE anatamba kwamba ana MPA ya Mzumbe. Huwa nacheka sana nikiona mtu anaetamba kwamba ana MBA au MPA ya Mzumbe. Nacho ni cheti cha kujivunia? Nilianza masters yangu pamoja na mtu wa MBA Mzumbe. Ndani ya miezi 6 yeye akasema amemaliza! Kwa kifupi, tulianza...
Back
Top Bottom