Search results

  1. detected

    Phone4Sale Samsung Note 20 Ultra

    Ninauza simu yangu Samsung Note 20 Ultra Plus Imetumika miezi mitano. Bei : 900k Location : Mafinga Simu : 0612332310 Karibuni.
  2. detected

    Car4Sale Rav 4 for sale

    Gari aina ya Rav 4 miss Tanzania inauzwa. Ipo Mbeya. Namba DCV. Imesimama sana. Mileage: 177000 Sababu za kuuza: Nimebadilisha gari Mmiliki: Mimi mwenyewe. Bei 16m. Mawasiliano : 0710613913 | 0764615124.
  3. detected

    Phone4Sale Note 10 Plus for sale

    Samsung Note 10 Plus Specifications Internal Memory 256GB Ram 12GB Battery 4300 mAh Pen yake ipo. Imetumika miezi miwili. Bei : Laki 9. Mawasiliano : 0710 613 913 / 0764615124 Ipo Mbeya. Mkoani inatumwa. Karibuni.
  4. detected

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Itezi, Mbeya

    Nauza kiwanja kinachopatikana Itezi Mbeya. SIFA ZA KIWANJA 1. Kimepimwa na hati ipo. 2. Umeme hauhitaji nguzo au nguzo moja ukihitaji. 3. Nimeweka msingi wa mawe wa nyumba (Trip 9). 4. Mashimo mawili ya choo yameshajengwa kabisa (Kubwa la mawe na dogo la tofali za block). 5. Kina ukubwa wa Sqm...
  5. detected

    Office Furniture

    Wakui wapi naweza pata furniture kwa ajili ya ofisi hasa meza kama hizi? Natanguliza shukrani.
  6. detected

    SOFTWARE Shop Software

    Heshima kwema wakuu... Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer 2014). Mfumo ni mwepesi sana kutumia na unatoa ripoti zote za muhimu. Pia tunaongeza vitu...
  7. detected

    Nahitaji Bluetooth POS machine

    Habari, nahitaji Bluetooth POS machine, aliyenayo tuwasiliane. Naambatanisha picha ila inaweza kuwa brand yoyoye.
  8. detected

    Msaada: Kuunganisha mfumo wetu na POS

    Wataalam, Anaeweza kutusaidia kuunganisha mfumo wetu na POS ajongee PM tuzungumze. Shukrani.
  9. detected

    Macbook

    Wakuu salaam kwenu, nahitaji macbook pro kwa mwenye nayo tuwasiliane hapa. Anipe specifications zake na bei yake.
Back
Top Bottom