Search results

  1. Hekima94

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Habari wana JF Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu... Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine... Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi...
  2. Hekima94

    Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Nakuja kuwapa ushuuda wa hili... Great thread...
  3. Hekima94

    Je, ni halali hatima ya maisha yetu kuamuliwa na miungu?

    HAKUNA BINADAMU ANAYEJUA CHOCHOTE KUHUSU MUNGU..... AKILI YAKO Kama kuna sehemu unatakiwa kuwa nayo makini ni akili yako... Unachowaza ndicho utakachotenda na ndicho kitakachokuwa... ROHO Kuna SAUTI inaishi ndani yetu sote, hii sauti ipo sahihi kwenye kila jambo itakaloshauri huo ndio msaada...
  4. Hekima94

    Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    HAKUNA BINADAMU ANAYEJUA SIRI YA MAISHA... Huu ndio mtihani pekee aliotoa yeye aliyetengeneza huu ulimwengu... Kuna SAUTI ipo ndani ya kila Binadamu huo ndio msaada pekee unaoweza kukupa sababu ya maisha hapa duniani... DINI Ni imani za wanadamu wakijaribu kumtafuta muumba wa ulimwengu katika...
  5. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Ukimaliza kuongea utumbo rudia tena video za mazishi yake ili ujipongeze vizuri..
  6. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Watu gani unaowazungumzia wewe.. Mafisadi na wauza unga ndio kundi la unalozungumzia.. Najua mmetumwa mje kuharibu huu uzi na kampeni yenu ya kuzika LEGACY ya JPM... Nakuhakikishia leo kwa Technology ndio inawaumbua na itazidi kuwaumbua.. Kazi alizofanya tumeziona na mabaya yake tunayajua lakini...
  7. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Huyo zitto alikuwa wapi kipindi jamaa yupo hai..? Mbona hasemi hospitali, masoko, barabara, bwawa la nyerere, flyover na vituo vya mabasi alivyojenga.... Hawa ni wachumia tumbo na madalali wa kimataifa wenye uchu wa madaraka.. Bado ana hasira za kupigwa na kitu kizito kipindi cha uchaguzi, the...
  8. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Hii ni ngojera so calm down dawa ikuingie
  9. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Una uwezo mdogo wa kufikiri ila una uwezo mkubwa wa kubishana.... nakukumbuka vizuri enzi za uchaguzi 2015 ni much know who know nothing..
  10. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Mkuu acha hii tabia ya kukosoa hovyo.. Ni dalili za wivu na uchawi.. Kuna wakati unatakiwa kuangalia vitu na kuviacha kama vilivyo.. Jifunze kujizuia..
  11. Hekima94

    Dark days 17/03/20...

    Huwa unajifanya unajua lakini ukweli ni kwamba unaungua na jua.. Weka uzi wako uonyeshe unachojua sio kuvamia vitu vya watu..
  12. Hekima94

    Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

    inawezekana kweli wamemuua maana kwa filamu aliyoifanya ilimpa umaarufu sana lakini kama ni mfatiliaji vizuri utakuta umaarufu mkubwa kwenye media zao kaubeba yule dogo aliyekuwa Adui maarufu kama MJ. Ukimwangalia Chadwick sio mtu wa kupenda makuu na anaonyesha Africanism ile aliyoicheza kwenye...
  13. Hekima94

    Vijana tuijenge Afrika yetu

    Mkuu Samahani kidogo. Nakushauri urudi kusoma Historia ya nchi kuanzia kipindi cha kabla ya kuja wakoloni babu zetu waliishi vipi, wakoloni walikuja kwa style gani, kipindi cha ukoloni kilikuwaje mateso manyanyaso utumwa dini zilivyokuja biashara elimu ulinzi na usalama, harakati za ukombozi wa...
  14. Hekima94

    Vijana tuijenge Afrika yetu

    Mkuu Kwanza kabisa kama unajua sheria huwezi kuyumbishwa na kauli kama hizi.. hata anayesema hivyo ni Afisa elimu ambaye mamlaka yake ni madogo sana. Nasisitiza tusome sana tujaze vichwa vyetu KNOWLEDGE na tutumie BUSARA daima. KUJIAMINI/CONFIDENCE ukiwa unajua unachokifanya na unauhakika...
  15. Hekima94

    Vijana tuijenge Afrika yetu

    Tuanze kwa kujaza vichwa vyetu positivity yaani tuache wivu na roho mbaya unajua kuna tabia fulani ya kutopenda maendeleo ya mwengine ambalo lipo kuanzia ngazi za familia mpaka maofisini hii inarudisha sana nyuma maendeleo ifike wakati ufungue moyo na kuamini kwamba maendeleo ya mwenzako ni...
  16. Hekima94

    Vijana tuijenge Afrika yetu

    Habari Wakuu, Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa MUNGU muweza wa yote kwa kuwa hapa muda huu na kushare na nyinyi mawazo haya. Vijana wenzangu sisi ndio tupo wengi katika nchi zetu hususani Tanzania hivyo basi kama tukiamua kuchukua hatua yoyote ile ya kimaendeleo tunaweza kufanikiwa sana...
  17. Hekima94

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Mkuu nasoma huu uzi leo 2020 na ninahisi kama umaundika mwaka 2030 wakati ilikuwa 2018... Ahsante sana mkuu... Ahsante sana mwenye JF... Siku moja mwanangu atakuja kusoma hizi uzi za watu wenye kupenda Maendeleo bila ubinafsi... Yaani umechukua muda wako ambao ungweza hata kulala ukapumzika...
  18. Hekima94

    Nimechoshwa na kuombwa pesa kila siku na vijana

    Kwanza naomba niseme uzi umenihuzunisha sana kwasababu mimi ni mmoja wa vijana katika umri huo... Lakini ngoja nikuvunjie hapa ukweli wa hali halisi.... Kizazi chetu kimeathiriwa na vitu vifuatavyo:- MFUMO WA ELIMU umetufanya tuwe tegemezi wa ajira sana kuliko ubunifu binafsi na ujasiriamali...
  19. Hekima94

    Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Huu uzi nimeuchelewa Jamani nahitaji Gold hapa Dar es salaam... Lakini kila mtu anataka nimpe ela alete mjini na wengine tuliwatumia 2mil mbeya huko lakini hawakuja... Mimi mteja wangu ananiona sina maana... So kwa watu wenye mzigo na yupo serious anishtue maana wabongo tunazingua sana
Back
Top Bottom