Ka jinsi nilivyosikia, vituo vye rejareja vyenye nembo ya BP kwa sababu vinamilikiwa na watu binafsi na c kampuni, wataruhusiwa kununua kwa wauzaji wengine wa wholesale na c BP, na mafuta ya ndege hayo amesema ni kwa sababu hayakuwa kwenye makundi ya mafuta yaliyogomewa wao wamezuiwa petrol...
Lissu amepandishwa kizimbani na wengine kwa mashtaka matatu: kuingia hospitali bila kibali, kukusanyika hospitali bila kibali na kuwazuia polisi kufanya kazi yao. Wamerudishwa rumande mpaka kesho maamuzi ya dhamana yatakapotolewa. Polisi wametoa kisingizio kwamba wakitoka watachochea vurugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.