Search results

  1. Thread Starter

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Hilo bomu analolitengeneza atajuta Kuvaa hizo jezi haitozuia Simba /Yanga kushinda,kufungwa au kusuluhu Mchezo ni uwanjani, hizo jezi hazina cha kufanya na hata hiyo solidarity forever haipo basi tu Kwa hiyo tuanze kukagua shabiki mmoja mmoja passport, like serious? Waziri katoa boko, kama...
  2. Thread Starter

    FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

    Acha kukariri maisha, unadhani watu wote wako Tanzania au saa sita wanakuwa wamelala ? Kama ni mashindano ungeanzisha wewe Sit back and Relax acha wivu wa KIKE/Makasiriko kwa mwanaume mwenzako
  3. Thread Starter

    Ramadhan Kayoko kuamua Jumapili kwa Mkapa

    Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo namba 64 utakaoyakutanisha manguli ya soka la Tanzania Simba SC na Young Africans. Taarifa iliyotolewa katika mitandao ya kijamii ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ imeonyesha Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono(Tanga), Janeth...
  4. Thread Starter

    Hospitali ya MUHAS Mloganzila (MAMC) yawekwa chini ya uangalizi maalum wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)

    https://www.jamiiforums.com/threads/breaking-news-hospitali-ya-taifa-muhimbili-kutoisimamia-tena-mloganzila-sasa-hospitali-ya-mloganzila-kujiendesha-yenyewe-kuanzia-julai-2022.1965895/
  5. Thread Starter

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  6. Thread Starter

    iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

    Sijaona logic ya iphone kuto include earphone na charger kwa kisingizio cha kutunza mazingira [emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
  7. Thread Starter

    Mtaalamu asema Supu ya pweza haiongezi nguvu za kiume

    Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya mapenzi
  8. Thread Starter

    Wanawake, Perfect Guy (Man) wako ana sifa na vigezo vipi?

    Habari zenu wadau, wakubwa kwa wadogo... Natumai mko poa na mnaoumwa Mungu awajalie unafuu ikawe heri Naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina swali ambalo nahitaji majibu na ufafanuzi kutoka kwa watoto wa kike sanasana (wajuba wa kiume sio mbaya pia). Hii ishu imenitokea mimi kabisa...
  9. Thread Starter

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    750,000 kwa maisha haya ya baba jeska ntaweza kweli, bajet yang haifik huko bosi
  10. Thread Starter

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    zimechangamka kvp ntajie mfano mkuu
  11. Thread Starter

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    mkuu nimesema sina lengo la kuharub biashara ya mutu
  12. Thread Starter

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho Ila kabla sijaenda nikatonywa na fundi wang wa simu akasema usiende kule watakupa simu feki, mara...
  13. Thread Starter

    Ukweli kuhusu maisha

    Tafuta hela kijana, motivation quotes zitakuua
  14. Thread Starter

    Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    @Shaffih Dauda anasema....Mechi kadhaa za mwisho za TP Mazembe ndani ya uwanja wao wa Nyumbani. :: Mazembe 2 - 0 CS Costantine Mazembe 8 - 0 Club Africain Mazembe 2 - 0 Ismaily Mazembe 1 - 0 Zesco United Mazembe 1 - 1 De Agosto Mazembe 1 - 1 Difaa El Jadida Mazembe 1 - 0 MC Alger Mazembe 4 - 1...
  15. Thread Starter

    Mpya kutoka kwa RC Paul Makonda: Aja na kampeni ya kuwasaidia Wajane

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekuja na kampeni mpya ya kuwasaidia wanawake wajane itakayofanyika Mlimani City Dar es salaam... Nanukuu kutoka kwenye page yake ya instagram @baba_keagan *IT’S FRIDAAAAY...!* Wote kwa nafasi zetu tunafurahia uelekeo wa mwisho wa juma kwa wengine ukujipanga...
  16. Thread Starter

    BREAKING NEWZ: ALI KIBA kortini baada ya kusema uongo hadharani!

    Rubbish [emoji706][emoji706][emoji706] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Thread Starter

    Masikini akipata...

    Alieelewa anieleweshe Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Thread Starter

    Serikali: Kondomu Milioni moja, zipo njiani zinapelekwa Mafinga na Njombe kwa dharura

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Condom Series[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom