Ulipopendekezwa kuwa Waziri Mkuu, Watanzania walio wengi hawakutegemea. Isitoshe siku Mh. Rais analitaja jina lako Bungeni, hata wewe hukutarajia. Ulighubikwa kwa chozi la furaha huku moyoni ukitafakari utaitendea nini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nafasi uliyoaminiwa.
Nikupongeze kwa...
Ni kawaida mtu anayeomba kuwa Mwakilishi wa watu hutumia lugha ya ushawishi kwa lengo la kutafuta imani toka kwa watu anaotaka kuwaongoza. Huu ndio uhalisia kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu za nchi.
Cha kushangaza, wagombea walio wengi wamekuwa wakiwashawishi wapiga kura wao kuamini hata...
Anatenda analolijua bila kujua analolijua sio linalotakiwa kujulikana na wanayoyajua wajuzi. Alikohamia wachunge sana. Siku akihama atamwaga mboga tena. IQ signal iko 2G.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ni ujuzi, maarifa na stadi azipatazo mtu katika mazingira yanayomzunguka ama maisha yake ya kila siku, zinazomwezesha kufanikisha kwa ufanisi na weledi utekelezaji wa majukumu yake kwa faida yake mwenyewe na jamii kwa ujumla.
Chimbuko la mfumo wetu wa Elimu ni kipindi cha mkoloni...
Anavuna matunda ya kazi yake. Si mtoto mdogo asijue kifuatacho baada ya kazi aliyoiandaa na kuirusha mitandaoni. Anyway avumilie kwa yote japo atapata tabu Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mfuasi wa chama fulani ni uamuzi aufikiao mtu baada ya tafakuri ya kina na upembuzi yakinifu juu ya faida na hasara atakazozipata ama kukabiliana nazo. Yumkini, mfuasi huwa ni mtu aliye tayari kupambana na kukabiliana na changamoto zozote zile zinazoweza kujiitokeza dhidi ya maamuzi yake...
Tabaka la watu maskini tena wa fikra hutawaliwa na wivu ama kijicho. Wao ukesha wakiwaombea mabaya ama mikosi binadamu wenzao. Bahati mbaya sana maombi yao Mungu huyageuza na kuwa baraka kwa walengwa. Huendelea na mfumo huu wa maisha mpaka wanazeeka wakiwa maskini. Hii ni dalili mojawapo ya...
Naipongeza Sekta ya Afya nchini kwa jitihada kuntu inazozichukua katika kukabiliana na mlipuko wa COVID-19 tangu kuingia kwake hapa nchini. Ni wazi wataalam wa Afya wameonyesha "Commitment" itokayo mioyoni mwao huku wakiitendea haki mikataba yao ya ajira katika kipindi hiki kigumu.
Kutokana na...
One of the most nosense articles never ever! They could have told us where the virus was derived from as well as the purpose this massacre killing agent. Tell them to stop. Let them discuss their issues and give us a break.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi dunia nzima inazizima kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona (COVID -19) tangu kubainika kwake hapo disemba 2019. Ni gonjwa ambalo mpaka sasa limegharimu maisha ya maelfu ya wanadamu huku likiacha athari za kijamii na kiuchumi zisizoweza kuzibika hata kidogo miongoni mwa wanajamii...
Big up Brother! Optimistic statements like these, might advance the country to the middle economy country by 2025. Looking to hearing from you once a gain. Enjoy your Easter.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.