Search results

  1. kohen

    Halmashauri ya Jiji la Dar ifute kiingilio stendi kuu ya Mabasi Ubungo

    Kwa yoyote anaye husika; Hii ni kero ninayoileta kwako mfumo wa swali, nauliza hivi makusanyo ya shilingi za kitanzania mia mbili (200/-) kwa kichwa kama kiingilio pale Ubungo stand ya kwenda mikoani ni kwa maslahi ya nani? Nauliza hivi kwa kuzingatia ukweli kuwa ndani ya stand hakuna huduma...
  2. kohen

    Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

    Mods; habari zenu..:peep:, nadhani huu uzi ulitakiwa uwe umezuiliwa :ban: toka awali kwakuwa na muelekeo/ muonekano wa kuchochea ushoga :A S embarassed:
  3. kohen

    Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    hii inaonesha wazi kuwa huna siku nyingi hapa mjini
  4. kohen

    Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    hiki ni kiashirio tosha kuwa huna siku nyingi mjini
  5. kohen

    Mnaojiita wadada wa Mujini...

    huyo dada sio yeye ni roho ya ushetani ndani yake inayo sababisha yote hayo; akimtafuta BWANA YESU yote yatabaki kuwa shuhuda na ukitaka kulifahamu hili yaone maisha ya mwanaume aliye tembea na huyu dada kabla na baada ya kutembea naye ikibidi muulize ndoto anazoota, hela kama inakaa kama ilivyo...
  6. kohen

    Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

    mdogo wangu kuwa makini na viongozi wa ki'imani...itakughalimu; kama kitu unashaka nacho mara... nyingi huwa wanaweka namba zao za simu mpigie moja kwa moja muwasiliane nae na utapata jibu la uhakika kuliko kumuanika humu huwezi jua mawazo ya wengine yatakuwaje pengine anaweza kukashfiwa kitu...
  7. kohen

    Rushwa wazi wazi migodi ya Barrick

    naamini panakuwa na maafikiano kabla hujapewa kusaini mkataba wa ajira...na hiyo laki nane ni kwa watu ya level ya chini sana na wasio na ujuzi wowote sijui kwenye kampuni yako watumishi wasio na ujuzi mnawalipaje
  8. kohen

    Rushwa wazi wazi migodi ya Barrick

    jamani jamani watanzania tuache kuzungumza mambo ambayo hhujayafanyia utafiti wa kutosha...nijuavyo mimi ABGM wao kazi ni lazima watangaze na ikitangazwa waombaji wa online wanatakiwa watumie barrick.taleo.net kutuma maombi yao na si vinginevyo
  9. kohen

    Today at SCOAN: Mahusiano

    bofya link hii Emmanuel TV - A Christian Television Network by T.B. Joshua kila jumapili, jumamosi na alhamisi wanarusha matangazo ya moja kwa moja siku nyingine kuna vipindi vya kawaida pamoja na rebroadicast... Emmanuel..! Thank You, JESUS
  10. kohen

    Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

    Kaka nna uhakika na nilicho kushauri na ukitaka ushuhuda zaidi Emmanuel TV - A Christian Television Network by T.B. Joshua ingia hapo ujionee na BWANA akubariki...na labda nikuambie sio kufunikiwa kupata uzazi tu bali hata atakaye zaliwa atakuwa ni mbarikiwa be Blessed !
  11. kohen

    Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

    Kama una uwezo nenda Synagogue Church of all Nations - Nigeria, jambo lako litabaki kuwa ni testimony...au tafuta mtu aliye'enda huko akupe anoiting water au kama kuna ambaye bado yupo huko akuletee. utafunguliwa tu...Amini.
  12. kohen

    Wafanyakazi wa Vodacom na NSN mmejiponza wenyewe. Msitafute mchawi wenu. Ni nyinyi wenyewe.

    Tabia hii naweza kuiita ni tabia ya kitanzania na ni ya watanzania, Watanzania kufanya kazi bila kuhujumu bado hawajaifanya na wengi hawataipenda, wakihujumu wakamaliza au mianya yao ya kuhujumu ikitaka kufikia tamati wanaanza kuonesha upinzani na kujitakasa kama vile wao ni watakatifu na ndio...
  13. kohen

    Mke wa md wa bank analipwa mamilion!

    hearsay evidence !.......
  14. kohen

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    nguvu kazi [mwenge-stesheni] , skola stika[mwenge-stesheni] , riziki kwa mungu"tim yulee!"/riziki kwa mungu"golo yulee!" golo bus service"tim yulee!"[mwenge-stesheni;chang'ombe via maduka mawili-posta] , mv mapenzi[chang'ombe posta] , kitmeer[temeke chang'ombe n.k] , dau la mnyonge , kuti kavu ...
  15. kohen

    Najua sio wote wabaya lakini nawachukia wanaume!

    kama ni mumeo na mmeishi si pungufu ya miaka minne ukiondoka imekula kwako , huo ni mtego wa adui(shetani) ; maandiko yanasema ". . . watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ". nasema hivi kwanza adui hapendi familia zenye utulivu na amani kwani yeye amekuja kuharibu , pili mafanikio yako...
  16. kohen

    Top ten wonderful names from Tanzania

    kumpuni kapaya (miss kwa wakati huo sasa hivi sijui ana status ipi)
  17. kohen

    TB Joshua

    jaribu hapa Emmanuel TV ubarikiwe sana kwa kumtafuta BWANA kwa nguvu
  18. kohen

    Barclays bank ni noma, msaada wa sheria haraka

    barclays bank (T) , sidhani kama inakidhi viwango vya kibenki ni wakati umefika sasa wahusika waitolee macho , malalamiko yametosha .
Back
Top Bottom