Serikali ina uvivu wa kufikiria vyanzo vingne vya kujiongezea mapato.Imekalia kuongeza kodi katika vyanzo vilevile kila mwaka,hakuna ubunifu kabisa.Kinachokera zaidi na kukatisha tamaa ni pale tunapopata habari za wizi wa fedha zetu kila kukicha na bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa.Hii...
Mnyika alijizolea umaarufu mkubwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja zenye mashiko,kuwa na msimamo ktk anachokiamini,kutokubali kuyumbishwa na kununuliwa.Pia alieleweka na watz wengi kuwa ni mtu makini na mwenye upeo mkubwa wa kufikiri.Lakini jana huyu jamaa amejishushia sana heshma...
Miongoni mwa sababu zinazonifanya nimkubali Zito ni umahiri wake wa kujenga hoja,ujasiri alionao na ubunifu.Huyu jamaa ndani ya CHADEMA ni nguzo muhimu mno.Ila wanachonikera viongozi wa juu wa CDM ni katabia kao ka kutaka kumdhoofisha huyu jamaa kisiasa.ACHENI HIZO!
Wanaotetea kwamba Mh Zitto na Mbowe hawana bifu ni yule tu ambaye ana mapenzi makubwa na CDM kiasi kwamba hata hatengi muda kufikiria kama baadhi matatizo ya chama chao.Wanavyodhani wao ni kwamba, chama chao ni kisafi kama pesa mpya.Ukweli ni kwamba Mbowe hampendi Zitto.Sio kwa hili tu,mengi...
Suala la mahakama ya kadhi wasio waislamu haliwahusu.Inasikitisha kuona kuwa hao ndio wenye vimbelembele katika kuipinga mahakama ya kadhi.Hivi nyinyi inawahusu nini?Haya ni masuala ya waislamu mutuachie wenyewe tunaojua umuhimu wa kuwepo kwa mahakama hiyo.
CCM inatakiwa kupiga hatua zaidi kwa kubadilisha sera zinazoonekaa kutoleta tija kwa wakulima na wafanyakazi.Kisiwajali zaidi wafanyabiashara eti kwa sababu inasemekana wanakifadhili chama hicho.Ifike hatua yeyote atakayethibitika ana kashfa ya rushwa hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi...
Katika mjadala wa muswada wa katiba uliofanyika Zanzibar,wazanzibar waliojitokeza katika mjadala huo sio tu waliupinga muswada huo,bali walisikika wakiukataa na muungano pia.Katika fikra zao wanaamini ya kuwa wao hawanufaiki na muungano kama wanavyonufaika nao watu wa bara.Hekima na busara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.