Search results

  1. R

    Watu wamechoka na chaguo la Mungu?

    Utawala wa kikwete umelifanya taifa hili kujua vizuri neno UFISADI. Umefungua kwa uwazi uhuru wa vyombo vya habari na kuwafanya watanzania kuona umuhimu wa CHADEMA .Bunge limefunguka na kuweza kuanika hadharani mambo mbali mbali kuanzia Richmond n.k. Huu ndo mwisho wa utwala wa CCM. Watu...
  2. R

    Hongera wabunge kwa kuwa wamoja

    Inapendeza kuwaona wabunge wamekuwa pamoja kwa kupinga budget ya Nishati na madini. Hili ni swala la kitaifa zaidi kuliko chama. Hili ni fundisho kwa serikali kuwa haitaweza kuwafanya rubber stamp kwa uozo ulio wazi kwa kila mtu. Wiki tatu walizopewa wasiishie kutoa mapendekezo tu ya...
  3. R

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Kama angekudanganya kuwa hajaolewa,hapo tunge kusamehe! Kama unajua tayari kuwa ni mke wa mtu,mwepuke kama ukoma!! Atakuletea matatizo.
  4. R

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Unasikitisha sana! Huyo mchumba wako siku ukimuoa nawenzako wapenda kuwa na uhusiano naye,wewe utafurahi? Acha uhuni kwa wake wa wenzio kwa sababu ya lift. Mke wa mtu ni sumu!!!!! Fikiria angekuwa mke wako!!! Lift isiwe sababu! Mwambie upo bussy na mchumba wako! Kwani mchumba wako ni KIMEO...
  5. R

    Wabunge wa CCM wakutana saa saba, watambeba Ngeleja?

    Wabunge wa CCM wanajipanga kama kamati kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati. Umeme ni swala la kitaifa.Sio la CHADEMa wala CCM. Chonde wana CCM,ndayi ni watanzania.Kwanini mkubali ndugu zenu baba zenu,mama zenu,ndugu zenu na majrani zenu wakae gizani kwa nyinyi kupata umaarufu kwa Chama...
  6. R

    Hivi Slaa ni mzulu?

    Asingalikuwa Slaa ungejuaje msamiati wa UFISADI? Dr.Slaa ni mtetezi wa wanyonge ,anayependa haki itendeke na sheria zote zifuatwe! Kwanini serikali haimtii gerezani? Kwa vile ni msema ukweli wenye ushahidi!!!!!!!
  7. R

    Matokeo NBAA may Exams

    Kufeli mtihani si kwamba wewe ni kilaza, isipokuwa ni kwamba wakati wa mtihani wewe hukufanhamu yale yaliyoulizwa kwa ufasaha! Waweza kujiandaa kwa mwaka mzima uka feli na aliyee jiandaa kwa wiki moja akafaulu!!
  8. R

    Zitto aliponda baraza la mawaziri kuhusu CHC

    Kama ushahidi unaonyesha dhahiri kuwa baraza la mawaziri limerubuniwa,Mheshimiwa Zitto ataombwa msahama? na je atafidiwa kwa kufunuwa mambo yalifunikwa? Spika itamlazimu ajifunze kwa mara nyingine. Wana CHADEMA hawakurupuki! Wanajenga hoja zao kwa ushahidi. Serikali ni watu,japo ina siri...
  9. R

    Njaa ya Mabinti Bwana

    Kama binti anapenda kuolewa na wewe hawezi kukufanya buzi. Anapojua kuwa uhusiano wenu ni short time,lazima apate faida kwa kukuchuna na kuharibu mfuko ako.
Back
Top Bottom