Search results

  1. K

    Ndoa ya kwanza kati ya Mbwa na Mwanadamu yafungwa jimboni California nchini Marekani!

    Na wale watu wanao dai kwamba wanaishi kizungu huwaa wanatabia/maadili na hulka kama wao!!?
  2. K

    Nchimbi asema Big Brother ni kero

    Kwa kusema ukweli si kila kitu kitakacho shabikiwa na vijana kitakuwa na faida kwa watu wa lika zote kwa sababu ujana mara nyingi huwa ni kama ulevi fulani na mtu yoyote akikwambia usifanye hivi au vile basi unamuona kuwa aningilia uhuru wako mfano biG brother na mengineyo mengi kwa kifupi...
  3. K

    PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

    We kama vp baki nayo tu
  4. K

    Wabunge wa CCM kutoka kusini (Ruvuma, Mtwara, Lindi) mnalala....

    Ebwana hiyo ni kweli kama huku NEW WELL Bw.Mkuu wa chika yaani Tunashida ya maji lakini huyo bwana amekalia kuwatisha wafanyakazi wa halimashuri fulani tu.Na hii ni kwa sababu ubunge wenyewe aliupata KIMTINDO.
  5. K

    Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

    Huko n kukosa HAYA mtu yeyote mwenye haya hawezi kufanya hivyo.Na hii si ajabu akawa na tabia nyingine mbaya zaidi kutokana na kukosa HAYA msinulize ipi! anaweza hata akawa malaya, kutoheshimu watu wengine kwa sababu mwenyewe HAJIHESHIMU.Mtu kama huyu ni mbaya sana ktk jamii sababu kutokana...
  6. K

    Katibu mkuu nishati na madin asimamishwa kazi.

    Katibu Ndio mzaidizi mkuu wa waziri kama yeye kafanya kosa hili na hatua aliyo chukuliwa ndio hii, Je? waziri anasubiri nn.Nataraji kesho kusikia waziri yuko Segerea pamoja na katibu wake.
  7. K

    Please Kikwete, just resign

    Inauma sana kuona kila uchao watu wanalamba mali zetu Halafu bwana mkubwa anatuimbia nyimbo za kitoto.Kwa kweli kujiuzulu kwake litakuwa ni jambo la heshima sana.
  8. K

    Please Kikwete, just resign

    Pasua baba!!! Hatata asiye na macho anaona.
  9. K

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Jamani mbali ya yote Mimi bado sijajua Maana,Lengo Na faida inayopatikana kwa WATAZAMAJI wa Big Brother.
  10. K

    Nashindwa kuzipenda filam za bongo....

    Watu wa TGNP Hili Hawalioni.? Wanajifanya kutetea Haki za WANAWAKE Lakini wanaunga mkono WANAPO JIDHALILISHA Kwa kweli hata mimi naona kichefuchefu.
  11. K

    Haloo! Wana JF

    Amani ya MH.GOD Iwe nanyi
Back
Top Bottom