Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

    Angeendelea na mpango wake wa awali wa kugombea Rungwe labda angepata. Kwa Mbeya mjini itabidi nguvu kubwa sana itumike kufanikisha hilo
  2. B

    Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

    Hizo ni kilo bilioni moja na ushee, nadhani sio sawa
  3. B

    Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

    Nadhani mtoa mada aangalie vizuri hizo kilo kama ni sahihi.
  4. B

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji bampa la mbele na taa ya mbele kushoto, TOYOTA WISH nyeusi niko MBEYA. Naomba bei tafadhali
  5. B

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Nijitetetee kwa kitu gani Hornest, nimeusoma uzi huu na nashangaa ghafla from Boom nimekuwa milionea. nitanunua hata flat ya inchi 20 sasa japo na baiskeli ya kuendea gheto
  6. B

    Orodha ya mirandi ya Serikali iliyoota mbawa baada ya wafadhili kugoma kutoa pesa sababu za uongozi mbaya

    Kifupi hajui wajibu wa serikali kwa wananchi wake, akasome katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  7. B

    US Department of State, Human Rights 2018 Report on Tanzania.

    Akili kubwa P, vijana hawakusomi vizuri tu.
  8. B

    Naombeni points..lol

    Safi sana, ila tunapoongelea kuhitimu kiwango fulani cha elimu, neno sahihi la kutumia ni complete na si finish
  9. B

    Namba za Magari: Kwanini herufi “O” imerukwa!?

    Hizo herufi huwa hazitumiki, zinafanana na tarakimu 1 na 0. nakumbuka hata TZO ilirukwa miaka hiyo.
  10. B

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Umenena vyema sana, tena ukute wanaokuinterview ni wabongo wanawapa majibu yote watu wao. Yaaani ile interview pannel wanashare maswali miongoni mwao. Hili limetokea nikiwa kwenye pannel moja na lilinishangaza sana.
  11. B

    Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy

    Umeandika vyema kabisa ila access ya strong room na ATM ni watu wawili. Hii ni kupunguza uwezekano wa kutokea wizi kirahisi, so mtu mmoja hawezi fungua na kuingia kwa vault (labda huyo mwenzake amuamini na kumpa access) mahali ilipo strong room sio siri kwa watumishi wa benki kwani bila access...
  12. B

    Swali Tatanishi; Polisi wa Dhahabu Mbona Hawakushtakiwa Kijeshi na Kufukuzwa Kwanza?

    Asante GREAT THINKER, kuna watoto humu wajuaji sana na hawajui kitu.
  13. B

    Swali Tatanishi; Polisi wa Dhahabu Mbona Hawakushtakiwa Kijeshi na Kufukuzwa Kwanza?

    Mbona humu JF kuna bahadhi ya members mnajifanya wajuaji hata kwa vitu msivyovijua, kwa nini unandika kitu usicho na hakika nacho? wakati mwingine muwe mnasoma tu na kujifunza kwa wanaojua. Ulichoandika si sahihi hata kidogo. Yaani unasema polisi ni raia? kweli kabisa ukiwa na akili zako timamu/
  14. B

    Swali Tatanishi; Polisi wa Dhahabu Mbona Hawakushtakiwa Kijeshi na Kufukuzwa Kwanza?

    Huyo Tatum anajifanya mjuaji sana na vitu havijui
  15. B

    Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

    Mfumo wako wa fahamu hauna ushirikiano
Back
Top Bottom