Search results

  1. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  2. Bwanamaya

    Nawezaje kupata VPN bila kuwa na App?

    Wakuu salam, Samahani hivi inawezekana kuwa VPN bila kuwa na app? Maana kwenye simu kuna ile sehemu ya ku add vpn yaani ile alama ya +, tafadhali naomba mwongozo. Asanteni sana
  3. Bwanamaya

    Simu yangu ni Android 10, App ya Vodacom inagoma kufanya kazi

    Wadau wa hizi kitu kama nilivyo sema nashindwa kusajili kwasababu ile app niki log in inakubali ila siwezi kufanya chochote kwasababu nikigusa nianze kazi inaganda tu hapo mpaka italeta kaujumbe hako ka close or wait. Naombeni msaada nifanyaje wakuu
  4. Bwanamaya

    Wasalam, wakuu naombeni kujua gharama za miamala ya NMB (ATM)

    Sina ujuzi au uzoefu wa kiwango gani mteja anakatwa kutoa pesa kwa ATM ya benki ya NMB au CRDB, Anayejua naomba msaada.
  5. Bwanamaya

    Nashindwa kuelewa namna ya kusoma hali ya hewa, kwa maana ya kiwango cha joto ama baridi.

    Naomba msaada hapo kueleweshwa jinsi ya kusoma kiwango cha baridi au joto, maana hizi kitu kwakweli nimesahau kabisa wakuu
  6. Bwanamaya

    Tunauza Incubator(Mafinga-Iringa)

    Wapendwa wafugaji kanda ya nyanda za juu kusini, tumewaletea mashine za kuangulia mayai ya ndege aina zote, mashine za kisasa kabisa na zenye ufanisi mkubwa (full automatic) AC/DC (umeme wa kawaida na umeme wa battery) bei poa kabisa kabisa. Tuwasiliane Pm
  7. Bwanamaya

    Joto gani na unyevu vinafaa kwenye incubator ikiwa na mayai

    Waungwana naombeni msaada tafadha sina utaalama sana, jamaangu ameniazima mashine n tayari nimeshaweka mayai ila naombeni msaada kwe hayo mawili tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Bwanamaya

    Namna ya kutumia incubator ya mayai 96

    Wazee kamwene, jamani mwennu nina ushamba wa matumizi ya hizi mashine za kuangulia mayai, lakini napenda kweli kufuga kuku na mpaka sasa ninao kama hamsini, sasa nikapenda nipige hatua kidogo kwa kupata mashine, kuna jamaangu ameniazima na bahati mabaya nae hajui matumizi yake, aliyekuwa...
  9. Bwanamaya

    Kufuta sms za wasap kwenye group

    Wakuu hivi inawezekana kufuta sms za wasap ambazo mtu au watu wametuma, kwenye group na maadmin mkaona hazina maadili? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bwanamaya

    Msaada jamani: Kila nikifanya tendo la ndoa korodani moja huuma sana

    Shida yangu ni kila nikifanya tendo korodani moja ya kushoto inauma sana hasa baada ya kumaliza tendo yaani nikisha kojoa, hii hunipelekea mpaka sitamani tena kufanya tendo wakati mwingine naweza kaa hadi miezi 4 maana hata nikitamani kupiga mzigo nikikumbuka tu ile hali huwa naahirisha...
Back
Top Bottom